Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama zipiTupatie mchanganuo, hizo garama unazipunguzaje?
Huo ni uhalisia na hiyo pesa 10k ni ndogo katika mfumo wa standard life! Chakula balanced diet per day hiyo pesa ni ndogo sana kabla ya kuongeza mahitaji mengine.Huyo mtoto anaetumia elfu kumi kwa siku labda yule wa Hamisa mobeto! Mtoto anatumiaje hela ya kulisha familia nzima pekeyake?
Standard life wanaishi wangapi bana!Huo ni uhalisia na hiyo pesa 10k ni ndogo katika mfumo wa standard life! Chakula balanced diet per day hiyo pesa ni ndogo sana kabla ya kuongeza mahitaji mengine.
Tatizo sio kulisha unaweza kuwalisha ugali, maharage na majani katika milo miwili je wanapata chakula na lishe stahiki? Inahitajika milo mitano kwa siku je wanapata?Standard life wanaishi wangapi bana!
Life letu wengi Ugali marage na mboga za majani wewe hio standard life unayoongelea ni ipi?
As long as hawatakufa watakuwa tuTatizo sio kulisha unaweza kuwalisha ugali, maharage na majani katika milo miwili je wanapata chakula na lishe stahiki? Inahitajika milo mitano kwa siku je wanapata?
Kula ugali na maharage mara mbili sio kwamba umekamilisha kula bali umejaza tumbo! Wanapata maziwa, mboga za majani, matunda, extensive protein, snacks? Unawapatia pocket money?
Hiyo ni against humanity! Kwamba watakuwa tu. Hawakuomba uwazae hivyo ni wajibu na jukumu lako la lazima kuwapatia mahitaji yote fully.As long as hawatakufa watakuwa tu
Dah, naona wazee wa haki za binadamu mmeniamulia sasa! Mi ni mjumbe tu jamani😅Hiyo ni against humanity! Kwamba watakuwa tu. Hawakuomba uwazae hivyo ni wajibu na jukumu lako la lazima kuwapatia mahitaji yote fully.
Acha uwoga ww!Wazazi wengi tunatofautiana katika kuwa na idadi ya watoto; wapo wanaopenda kuwa na watoto wengi na pia wapo wanaopenda kuwa na watoto wachache.
Kwa jamii yetu ya kiafrika kwa walio wengi, mtoto anakuwa yuko tayari kujitegemea kwa mahitaji yake mwenyewe pale anapofikia miaka 30 na kuendelea; kwa hiyo atakuwa chini ya uangalizi wa mzazi kwa miaka yote 30.
Tuje kimahesabu
Makadirio
Gharama zao kwa miaka 30 ni = 10,000 x 365 x 30 x 5
- Mtoto kwa siku anatumia 10,000
- Mwaka una siku 365
- Atakaa kwa wazazi, miaka 30
- Idadi ya watoto 5
= 547,500,000/=
Inamaana wazazi watatumia kiasi hiki cha fedha (547,500,000/=) kuwakuza hao watoto mpaka wajitegemee, huku wazazi wakimiliki nyumba ya milioni 20
Bado hujaweka mavazi, ada za shule n.k
Kwa mantiki hiyo; Je, kuwa na watoto wengi ni 'Asset' ama ni 'liability'?
Hili ni suala pana kwa mustakabali wa taifa na maendeleo endelevu ya kitaifa. Kuzaa hovyo ni chanzo cha umaskini, elimu duni na upumbafu hasa kwa masikini.Dah, naona wazee wa haki za binadamu mmeniamulia sasa! Mi ni mjumbe tu jamani😅
Kwa siku atumie pungufuGharama zipi
Tupe faida mkuuKuna faida
Wengi maana yake ni zaidi ya mmoja kwa hiyo ukiwa na watoto kuanzia wawili na kuendelea waliopishana vizuri na ukaweza kuwahudumia watakupa kampani wakati wa uzee wenu nyinyi wazazi.Tupe faida mkuu
Nakubaliana na weweWengi maana yake ni zaidi ya mmoja kwa hiyo ukiwa na watoto kuanzia wawili na kuendelea waliopishana vizuri na ukaweza kuwahudumia watakupa kampani wakati wa uzee wenu nyinyi wazazi.
View attachment 2038240
Njoo nikubebeshe mimba za kutosha.Watoto wengi Ni faida mi napenda Sana watoto wengi
Wewe ni km mimi Mkuu.Kha kama urajiri ni magari na majumba basi Kaa navyo!Mungu akinipa uzima. Watoto dy utajiri wangu!!Kila mtu abaki na uchaguzi wake basi!!