Kuwa na watoto wengi, kuna faida ama ni hasara?

Watoto wengi ni faida Kama una miradi na mashamba ya kutosha hivyo hata kuwapa mitaji ni rahisi kwani utakua unawarithisha vitega uchumi wako.


Ila Kama ndio maisha ya town ya kushinda wanaangalia tv na kuhadisiana magali na muvi aisee ni hasara cos utaishia kupata kesi za mimba tu na udokozi kwa baadhi ya wanao
 
Kuna mzee mmoja bopa hatari toka kaskazini alikuwa na ukwasi Sana means bl 3+ uko na Masset ya kutosha Ila alikuwa na wake wa4 na watoto 21 Ila baada ya kufariki ni balaaa tupu Hadi mdogo mtu aliungana na wife wapili na watoto kugeuza will ya Mzee mahakamani ilifanikiwa Ila mtafaruku uliopo sio POA na wemeshaloose baadhi ya asset
 
We una miaka ngapi kwanza

hizo Hesabu za Kilimo cha Mapapai na Matikiti maji, Ni hesabu hewa ambazo hazina Mshiko kabisa Labda Uwe unatoka Familia ya Kitajiri ila kama ni hizi zetu za Uswazi Basi Hizi hesabu sio mahala Pake

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Kokotoa mkuu, tupate hesabu halisi
 
Kukiwa na mali, changamoto lazima ziwepo
 
 

Huu Ni mjadala wa mke Na Mme
 
Huyo mtoto anaetumia elfu kumi kwa siku labda yule wa Hamisa mobeto! Mtoto anatumiaje hela ya kulisha familia nzima pekeyake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…