Kuwa na watoto wengi, kuna faida ama ni hasara?

Huyo mtoto anaetumia elfu kumi kwa siku labda yule wa Hamisa mobeto! Mtoto anatumiaje hela ya kulisha familia nzima pekeyake?
Huo ni uhalisia na hiyo pesa 10k ni ndogo katika mfumo wa standard life! Chakula balanced diet per day hiyo pesa ni ndogo sana kabla ya kuongeza mahitaji mengine.
 
Huo ni uhalisia na hiyo pesa 10k ni ndogo katika mfumo wa standard life! Chakula balanced diet per day hiyo pesa ni ndogo sana kabla ya kuongeza mahitaji mengine.
Standard life wanaishi wangapi bana!
Life letu wengi Ugali marage na mboga za majani wewe hio standard life unayoongelea zinaishi kaya ngapi katika jiji hili! Tuna almost 10m people 8m out of ten wanaishi maisha ya kawaida na kuunga unga!
 
Standard life wanaishi wangapi bana!
Life letu wengi Ugali marage na mboga za majani wewe hio standard life unayoongelea ni ipi?
Tatizo sio kulisha unaweza kuwalisha ugali, maharage na majani katika milo miwili je wanapata chakula na lishe stahiki? Inahitajika milo mitano kwa siku je wanapata?

Kula ugali na maharage mara mbili sio kwamba umekamilisha kula bali umejaza tumbo! Wanapata maziwa, mboga za majani, matunda, extensive protein, snacks? Unawapatia pocket money? Kila kitu wanachohitaji a day wanapata?

Gharama za hayo juu ni 10k? Mimi ni Vegan lakini bado nikiwa Tanzania gharama za chakula a day for single person ni 35k kwa kujibana na ninapika mwenyewe!
 
As long as hawatakufa watakuwa tu
 
Acha uwoga ww!
maisha hayapigiwi hesabu za ivyo....
 
Dah, naona wazee wa haki za binadamu mmeniamulia sasa! Mi ni mjumbe tu jamani😅
Hili ni suala pana kwa mustakabali wa taifa na maendeleo endelevu ya kitaifa. Kuzaa hovyo ni chanzo cha umaskini, elimu duni na upumbafu hasa kwa masikini.

Ningelikuwa na uwezo ningepitisha sheria kwa kutumia kima cha kipato kwa mwaka mtu asiyezalisha above 5M ni marufuku kuzaa maana anazalisha masikini, umaskini na non-productive creatures.
 
Kila mwaka madarasa mapya yanajengwa, na hayo yaliyopo bado watoto wanarundikana Kama mbuzi, huku ajira ngumu na kupelekea graduates kuwa wengi mtaani.

Hizi kampeni za kusema ni maamuzi ya mtu mwenyewe kuamua kuwa na namba fulani ya watoto hazipo sawa, ndo zinapelekea mabinti wengi wadogo kuwa na watoto wengi majumbani kwa wazazi wao.

Watanzania tunazaliana mno, na hii ni hatari kwa taifa letu hivyo Basi lazima tujitathimini.
 
We jamaa hao watoto 5 unawapta kwa mara Moja, mie navojua yule aliyetangulia kukua akipata ka ujira anawaboost wadogo zake,

Halafu hiyo miaka 30 mingi sana, weka hata 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…