Umetekwaa weekend yote ukitoka hapo huna hata miaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! Ndiokwanzaaa mwezi haujaishaUkiona mwanaume yupo single hana nguvu za kiume [emoji856]
Instagram na telegram noma jamani....Mimi najiwekea plans na goals kila siku ..na ninatakiwa kuzitimiza Kwa vyovyote vile...so muda mwingi naupoteza huko...
Na hii imenisaidia sana...imenisaidia chuo na kuweza kuwa best student, kuweza kujiajili kwa mitandao, kuwa na startups kibao...ambayo imenifanya kimaisha kuwa poΓ na kudevelop haraka sana...
Lakin sasa kibembe huwa ni asubuhi...na ninaamka saa kumi...mtalimbo unakuwa unasimama Kwa hasira...Hadi nianze kupiga push ups na mazoezi ndo unatulia...sema nikishachoka naendelea na ratiba ngumu za siku hiyo mpaka jioni....
Nishasahau Hadi kuongea na wanawake kabisa, kuchati nao na ukizingatia nimesoma uboizini..naweza maliza week sijaongea na mwanamke zaidi ya mama Tu.....
Nb..Nilikuwa mpiga nyeto walau Kwa wiki mara moja nikizidiwa hasa nikitoka insta kuangalia picha za madada...lakin sasa nimekomaa sana inapita miezi hata tatu sijapiga ....sema wet dreams ndo kawaida mno....
Zote nishafuta kwenye simu yangu...Instagram na telegram noma jamani....
Bora wewe mie nimeshindwa kabisa.....kama instagram ndio hatari.. bundle linaenda fasta full kunyetuka basi hatari tupuZote nishafuta kwenye simu yangu...
Unatakiwa kuwa mwanaume, sio wa kiume ndio maana unaleta uzi wa aina hii.Wa kiume mimi
Yeye sio mwanaume ni wa kiume hapo ni tofauti kubwa sanaUkiona mwanaume yupo single hana nguvu za kiume [emoji856]
Tatizo sio udomozegeHivi kwa Karne hii ya 21 mtu unawezaje kuwa single especially mwanaume? Wanawake wapo wengi Sana ckuiz.
Mtoa mada kinachomsumbua Ni udomo zege tu maana anaweza kuwa na pesa ila akashindwa kujiongeza katika kutongoza wanawake.
Ni kweli hakuelewi lakini sio kwasababu ya sura yako.Nyie wanawake mnajua kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Mnakauli yenu pendwa. Eti "You're too good for me,you nees someone better" Hii ndio kauli yenu pendwa. Ukisikia hivyo tu ujue hakuelewi wala nini.
Fungua account mpya na kuwa selective kwenye kufollow...Bora wewe mie nimeshindwa kabisa.....kama instagram ndio hatari.. bundle linaenda fasta full kunyetuka basi hatari tupu
Hutaki kabisa mambo ya mapenzi mwanawane. Sasa lakini u ajua mbususu muhimu maana ndio raha ya dunia mzeyaFungua account mpya na kuwa selective kwenye kufollow...
Tafuta furaha nyingine mfano kuangalia movies na series....
Mimi ukitoka series yoyote ile YTS lazima niifatilie..lakin nazo wakianza kupendana naifuta
Ukweli usemwe hizi bby how are u zinakera sometimes. Mie naona raha ya relationship ni kukutana mnaongea face to face, kumakuwa na physical touching na intimacy. Lakini kila leo oh bby umeamkaje, guddnyt gorgeous ,inatakiwa pale mtu umesafiri.Kuwa Single ni raha sana! Habari za " baby how are you? How was your night? e.t.c " I don't care for them.
Dah umejikatia tamaa kabisaBana weh..ili mradi napumua inatosha.
ππππ Eehh..Sina jinsiDah umejikatia tamaa kabisa
Sasa ukiwa single sii ndio utaondoka mapema. Tafuta kidume bwana awe anakuoet pet ufurahie duniaππππ Eehh..Sina jinsi
Kwamba nikiachana na usingle nitaishi Sana!!??π€π€Sasa ukiwa single sii ndio utaondoka mapema. Tafuta kidume bwana awe anakuoet pet ufurahie dunia