Mimi najiwekea plans na goals kila siku ..na ninatakiwa kuzitimiza Kwa vyovyote vile...so muda mwingi naupoteza huko...
Na hii imenisaidia sana...imenisaidia chuo na kuweza kuwa best student, kuweza kujiajili kwa mitandao, kuwa na startups kibao...ambayo imenifanya kimaisha kuwa poà na kudevelop haraka sana...
Lakin sasa kibembe huwa ni asubuhi...na ninaamka saa kumi...mtalimbo unakuwa unasimama Kwa hasira...Hadi nianze kupiga push ups na mazoezi ndo unatulia...sema nikishachoka naendelea na ratiba ngumu za siku hiyo mpaka jioni....
Nishasahau Hadi kuongea na wanawake kabisa, kuchati nao na ukizingatia nimesoma uboizini..naweza maliza week sijaongea na mwanamke zaidi ya mama Tu.....
Nb..Nilikuwa mpiga nyeto walau Kwa wiki mara moja nikizidiwa hasa nikitoka insta kuangalia picha za madada...lakin sasa nimekomaa sana inapita miezi hata tatu sijapiga ....sema wet dreams ndo kawaida mno....