neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 727
- 2,421
Kufikia mahal wananchi wao hawategemei wanasiasa, wanaenda front wenyewe na kuowajibisha serikaliKenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
nyongeza : watz ni wanafiki sana.Kufikia mahal wananchi wao hawategemei wanasiasa, wanaenda front wenyewe na kuowajibisha serikali
Tz ikifika huku itukuwa historical
Hata kama asiporudi lakini hatua zimechukuliwa! Mkuu wa kituo kukamatwa na kulazwa mahabusu sio kitu cha kawaida!kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
ni kweli kabisa gentleman,Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
huoni kama sasa wewe ndo utakua mnafki mkuu wenzako wameenda front wamepoteza maisha wewe umebaki kwenye keyboardnyongeza : watz ni wanafiki sana.
Unafurahisha sana mkuuni kweli kabisa gentleman,
hakuna mTanzania atathubutu hata siku moja eti kuanadamana na sufuria kichwani eti anadai unga wakati ardhi ya kilimo ni bwerere kabisa nchini
Na wewe ukiwa moja wapo tena wewe ndio zaidi hasa,Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Majibu yako yanaakisi uelewa wako mdogo.kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
hayo yote hayawezi kufanyika akishazikwa? ujue kuna mda mnahitaji matibabu ya akiliHata kama asiporudi lakini hatua zimechukuliwa! Mkuu wa kituo kukamatwa na kulazwa mahabusu sio kitu cha kawaida!
Trust me hapa viongozi wa ccm wanaogaopa hayo mambo ya wananchi kuwa na mamlaka vibaya mno kama ni amri yao hata hiyo kenya wangeiamisha hukooo matakoni mwa bara la africa..Kufikia mahal wananchi wao hawategemei wanasiasa, wanaenda front wenyewe na kuowajibisha serikali
Tz ikifika huku itukuwa historical
Mamia ya genZ waliuwawa mwaka jana na ruto is stillKenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Hao waandamanaji wengi wao ni wazururaji tu wasio na kazi.Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
kwahio kukaa na mzoga ndo utashi wa akili 🤣 🤣 🤣Majibu yako yanaakisi uelewa wako mdogo.
ImekueaJe nowadays wafuasi wa Ccm na watawala ni watupu kiasi hiki ?!. Huelewi faida ya kuwajibika !!
Pamoja na uzururaji wao wamesababisha mkuu wa polisi kajiuzulu mkuu!Hao waandamanaji wengi wao ni wazururaji tu wasio na kazi.
Hajarudi hai.kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
ni ukweli mtupu gentleman,Unafurahisha sana mkuu
good, then use senseHajarudi hai.
Aise kwa hiyo ndugu yako akiuawawa ukapiga kilele ni wendawazimu???? Mkuuni ukweli mtupu gentleman,
hakuna mTanzania atathubutu kwenda kuandamana ili akauawe.
uwendawazimu wa wakenye ni wa kiwango kibaya sana cha kisaikolojia, ambacho waTanzania itawachukua miaka mingi sana kufika huko