Kuwasha subwoofer kwa sauti kubwa sio dalili za umasikini?

Jenga ya kwako.
 
Kuwasha subwoofer kwa sauti kubwa si dalili ya umasikini.

Kuwasha subwoofer kwa sauti kubwa mpaka jirani zako wakasikia ndiyo dalili ya umasikini.
 
Mkuu jitahidi sana kuzichanga uhame, it's not your level.
Uswazi Kuna mambo yaani inapigwa singeli, mtu anatoka nje anaanza kuimba. Mziki speakr inakoroma na Bado haitoshi mpka aimbe na yeye. Ole wako umwambie kitu. Utajuta.
Kikubwa level up and leave
 
Ndio umasikini wenyewe huo

Unapataje muda wa kutombana na makelele yote hayo kwenye nyumba ya kupanga isiyo na ceiling board?

Upo kwako mjengoni subwoofer ya nini wakati wa kuichakata au ukiwa Airbnb?
Sawa sisi masikini jamaa atuache Kwasbabu hata tukizima hio sauti, Tutamkera na Vileo vya Manzi
 
Muziki ni kelele ikiwa sio type yako. Ila ngoma unazopenda zikipigwa kwa sauti huwezi kulalamika.
Ila wiki hii mmetusema sana masikini hatupumui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…