Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miongoni mwa comenti chache za Kiranga akionesha hasiraWatanzania wengi ni mafundi wa kutoa ushauri ambao hawakuombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo yasiyowahusu.
Billnas akimtia Nandi mimba kabla ya ndoa mtu akishikia bango, wengine wanaweza kufikiri huyo aliyeshikia bango alitaka kutiwa mimba yeye. Ana wivu.
Hakuna hasira hapo. Hatufikirii sawa tu hivyo mimi naweza kupiga chafya kwa reflex action halafu wewe ukaona hasira.Miongoni mwa comenti chache za Kiranga akionesha hasira
Kiranga komo. Wewe sio mtu maarufu nakuahidi hatutakaa tukuongelee.Watanzania wengi ni mafundi wa kutoa ushauri ambao hawakuombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo yasiyowahusu.
Billnas akimtia Nandi mimba kabla ya ndoa mtu akishikia bango, wengine wanaweza kufikiri huyo aliyeshikia bango alitaka kutiwa mimba yeye. Ana wivu.
Kwanza hunijui mimi ni nani, hivyo ukishakuwa mtu wa kuongelea watu na hujui Kiranga ni nani, utajuaje kuwa huniongelei?Kiranga komo. Wewe sio mtu maarufu nakuahidi hatutakaa tukuongelee.
Atheist unatema cheche[emoji43][emoji43]Kwanza hunijui mimi ni nani, hivyo ukishakuwa mtu wa kuongelea watu na hujui Kiranga ni nani, utajuaje kuwa huniongelei?
Halafu mbona unanifanya mimi kuwa hoja wakati mimi sijajifanya kuwa hoja? Huoni mpaka hapo ushaniongelea?
Zaidi, hujakanusha hoja kwamba watu wanajipa uhodari wa kuingilia maisha ya watu baki.
Billnas kamtia mimba Nandi kabla ya kumuoa, wewe inakuhusu nini?
Ulitaka kutiwa mimba wewe?
[emoji16]Jasiri na Jiwe walikua wanatembea na wapenzi wa watu kibabe.
It is less about atheism and more about respecting other people's choices, or even, for that matter, lack of choices.Atheist unatema cheche[emoji43][emoji43]
Nimeamua nikupuuze.Kwanza hunijui mimi ni nani, hivyo ukishakuwa mtu wa kuongelea watu na hujui Kiranga ni nani, utajuaje kuwa huniongelei?
Halafu mbona unanifanya mimi kuwa hoja wakati mimi sijajifanya kuwa hoja? Huoni mpaka hapo ushaniongelea?
Zaidi, hujakanusha hoja kwamba watu wanajipa uhodari wa kuingilia maisha ya watu baki.
Billnas kamtia mimba Nandi kabla ya kumuoa, wewe inakuhusu nini?
Ulitaka kutiwa mimba wewe?
Ndugu Kiranga nyie ndo wale mnaotetea ushoga kwamba ni uhuru binafsi. Kama kungekuwa hakuna kuongelea mambo ambayo hayako sawa kwenye jamii basi kusingekuwa na haja ya mahakama wala polisi. Kwa mfano wewe Kiranga itokee hata muujiza umepata mamilioni ya hela kisha nenda kaweke kwenye akaunti yako uone kama hutatafutwa utolee maelezo hata kama ni zako. Acha kutetea upuuzi kwa hicho kiingereza chako cha juhudi binafsi.It is less about atheism and more about respecting other people's choices, or even, for that matter, lack of choices.
Do you know Billnas personally? Do you know Nandy personally?
I don't.
I don't know their families, their educational levels, their maturity, their breaks and misfortunes in life, their religious and political affiliations if any, their true selves as opposed to the public persona. I don't.
Sometimes, people don't even know who they are themselves, because they are prone to changing all the time.
And if I knew them personally, I would call them.
So why not live and let live?
How do you know that Billnas and Nandy subscribe to your moral code regarding pregnancy and family?
You do know that your moral code regarding pregnancy and family is not universal, right?
fuata yako unatuletea hasira zako za kushindwa maisha humu kama nasi tunawafahamu hao watu wako??????????????? wewe mtoto umemleaje? anyway mambo ya ngoswe mwachie ngoswe.Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni.
Jana ilikuwa na habari iliyovuma sana kuhusu Mama Wema na Luludiva kwa habari ya video zao chafu. Ila leo ghafla habari inayoenea ni Nandy na Billnas kupeana mimba kabla ya ndoa na kuutangazia umma kupitia mitandao ya kijamii. Wamasambaza picha zao za kimahaba huku Nandy akiwa tumbo wazi.
Walichokifanya hakikubaliki kwa mila na desturi zetu pia hata kiimani ya kikristo. Hakuna kabila wala dhehebu la kikristo linaloruhusu kupeana mimba kabla ya ndoa. Pia hakuna kabila wala kanisa linaloruhusu kusambaza picha za mama mjamzito akiwa tumbo wazi. Walichofanya ni kinyume kabisa na maadili ya kimila na kikanisa. Wote wanaowasifia pia wanafanya upuuzi. Binafsi NASUBIRI KUONA KANISA LITAKALOWAFUNGISHA HIYO NDOA WATU HAWA WAWILI inaosemekana wanapendana sana.