Kuwasifia Nandy & Billnas kupeana mimba nje ya ndoa ni ukosefu wa maadili

Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni.

Jana ilikuwa na habari iliyovuma sana kuhusu Mama Wema na Luludiva kwa habari ya video zao chafu. Ila leo ghafla habari inayoenea ni Nandy na Billnas kupeana mimba kabla ya ndoa na kuutangazia umma kupitia mitandao ya kijamii. Wamasambaza picha zao za kimahaba huku Nandy akiwa tumbo wazi.

Walichokifanya hakikubaliki kwa mila na desturi zetu pia hata kiimani ya kikristo. Hakuna kabila wala dhehebu la kikristo linaloruhusu kupeana mimba kabla ya ndoa. Pia hakuna kabila wala kanisa linaloruhusu kusambaza picha za mama mjamzito akiwa tumbo wazi. Walichofanya ni kinyume kabisa na maadili ya kimila na kikanisa. Wote wanaowasifia pia wanafanya upuuzi. Binafsi NASUBIRI KUONA KANISA LITAKALOWAFUNGISHA HIYO NDOA WATU HAWA WAWILI inaosemekana wanapendana sana.
Kama tu Kiongozi wa nchi anaongea Upashkuna na Umbea ambao ni kinyume na Maadili yake iweje leo uanze kuwalaumu Watanzania ambao tayari Suala la Maadili Kwao haliko na kamwe halitokuwepo mpaka Kiama?
 
Wakimaliza hayo watuonyeshe picha ya k. Uma ya Nandy. Hapo watakuwa wanawaiga Rihanna na A$ap Rocky, si mdiyo?
 
Itakuwa vyema na video ya huyo mwanamke akijifungua waitoe pia. Watapiga Sana hela aisee.
 
Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni.

Jana ilikuwa na habari iliyovuma sana kuhusu Mama Wema na Luludiva kwa habari ya video zao chafu. Ila leo ghafla habari inayoenea ni Nandy na Billnas kupeana mimba kabla ya ndoa na kuutangazia umma kupitia mitandao ya kijamii. Wamasambaza picha zao za kimahaba huku Nandy akiwa tumbo wazi.

Walichokifanya hakikubaliki kwa mila na desturi zetu pia hata kiimani ya kikristo. Hakuna kabila wala dhehebu la kikristo linaloruhusu kupeana mimba kabla ya ndoa. Pia hakuna kabila wala kanisa linaloruhusu kusambaza picha za mama mjamzito akiwa tumbo wazi. Walichofanya ni kinyume kabisa na maadili ya kimila na kikanisa. Wote wanaowasifia pia wanafanya upuuzi. Binafsi NASUBIRI KUONA KANISA LITAKALOWAFUNGISHA HIYO NDOA WATU HAWA WAWILI inaosemekana wanapendana sana.
Nipe umbea wa Lulu diva maaana umenipita
 
Watu ambao tayari wamejitambulisha hadharani kama watenda ushenzi huwa siwafuatilii. Huyo Luludiva na Mange Kimambi tayari wameshaamua kuwa upande wa ushenzi.
 
Adabu za kale hizo. Habari za kanisa humu JF ni wapi na wapi? Kuna watu humu akili zetu zimeshaamka, kwahiyo kama unafanya reasoning weka kanisa pembeni
 
Hawana mpango hao hovyo tu kwani ndoa za sasa nyingi watu wanatiana mimba kwanza
 
Write your reply...unachekesha Sana Sana yani wewe Uko perfect Sana na hukosei? nachukiaga watu wanaojiiona perfectionists
 
Ndoa ya nandy, kichefu chefu upate wee, inahuuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu. Mind your own business.
 
Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni.

Jana ilikuwa na habari iliyovuma sana kuhusu Mama Wema na Luludiva kwa habari ya video zao chafu. Ila leo ghafla habari inayoenea ni Nandy na Billnas kupeana mimba kabla ya ndoa na kuutangazia umma kupitia mitandao ya kijamii. Wamasambaza picha zao za kimahaba huku Nandy akiwa tumbo wazi.

Walichokifanya hakikubaliki kwa mila na desturi zetu pia hata kiimani ya kikristo. Hakuna kabila wala dhehebu la kikristo linaloruhusu kupeana mimba kabla ya ndoa. Pia hakuna kabila wala kanisa linaloruhusu kusambaza picha za mama mjamzito akiwa tumbo wazi. Walichofanya ni kinyume kabisa na maadili ya kimila na kikanisa. Wote wanaowasifia pia wanafanya upuuzi. Binafsi NASUBIRI KUONA KANISA LITAKALOWAFUNGISHA HIYO NDOA WATU HAWA WAWILI inaosemekana wanapendana sana.
Ila haka kabinti kana lips nzur sana
 
Nandy anafanana na Dullvany.
CCE8C057-B0EA-40FE-9BEC-67C2007CD54C.jpeg
 
Wabongo ni wapuuzi sana...kwani nandy kaanza kukazwa leo na billnas?...unawezaje kumlaumu mtu wakati wa mavuno kwani wakati anapanda na kupalilia ulikua wapi?
 
Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni.

Jana ilikuwa na habari iliyovuma sana kuhusu Mama Wema na Luludiva kwa habari ya video zao chafu. Ila leo ghafla habari inayoenea ni Nandy na Billnas kupeana mimba kabla ya ndoa na kuutangazia umma kupitia mitandao ya kijamii. Wamasambaza picha zao za kimahaba huku Nandy akiwa tumbo wazi.

Walichokifanya hakikubaliki kwa mila na desturi zetu pia hata kiimani ya kikristo. Hakuna kabila wala dhehebu la kikristo linaloruhusu kupeana mimba kabla ya ndoa. Pia hakuna kabila wala kanisa linaloruhusu kusambaza picha za mama mjamzito akiwa tumbo wazi. Walichofanya ni kinyume kabisa na maadili ya kimila na kikanisa. Wote wanaowasifia pia wanafanya upuuzi. Binafsi NASUBIRI KUONA KANISA LITAKALOWAFUNGISHA HIYO NDOA WATU HAWA WAWILI inaosemekana wanapendana sana.
Naona unawapa kiki tuu hao walifanya hivyo akina Beyonce,Rihana....ni mambo yakuiga tuu hayo hayana maana wacha wajianike hamna kipya
 
Wewe umejuaje kama hajaolewa??
Huensa kaoa kimila ndio familia zimetulia.

Hii tunaita kujifanya unawajua sana na sia ajabu unawaona tu mtandaoni wala ndgu zao huwajui ila tayari ushaconclude kila kitu as if wewe ni mshenga.
 
Kwani Mungu aliweka Ndoa kwanza Kabla ya Vikojoleo au aliweka Vikojoleo Kwanza?

Ndoa ni mifumo mliyojiwekea tu Wanadamu. Mbuzi,Njiwa,Kuku wanazaa bila Hata Ndoa
 
Back
Top Bottom