Kuwasifia Nandy & Billnas kupeana mimba nje ya ndoa ni ukosefu wa maadili

Miongoni mwa comenti chache za Kiranga akionesha hasira
 
Kiranga komo. Wewe sio mtu maarufu nakuahidi hatutakaa tukuongelee.
 
rihanna kashaachia ujinga wazee wa kugeza mambo kawaambukiza kutembea kitumbo wazi inawezekana wamepambana sana kuipata mpaka imewekewa bango
 
Kiranga komo. Wewe sio mtu maarufu nakuahidi hatutakaa tukuongelee.
Kwanza hunijui mimi ni nani, hivyo ukishakuwa mtu wa kuongelea watu na hujui Kiranga ni nani, utajuaje kuwa huniongelei?

Halafu mbona unanifanya mimi kuwa hoja wakati mimi sijajifanya kuwa hoja? Huoni mpaka hapo ushaniongelea?

Zaidi, hujakanusha hoja kwamba watu wanajipa uhodari wa kuingilia maisha ya watu baki.

Billnas kamtia mimba Nandi kabla ya kumuoa, wewe inakuhusu nini?

Ulitaka kutiwa mimba wewe?
 
Mi nataka kujua hiyo aliyovaa Nandy chini ni nini mana sijaielewa.
 
Atheist unatema cheche[emoji43][emoji43]
 
Atheist unatema cheche[emoji43][emoji43]
It is less about atheism and more about respecting other people's choices, or even, for that matter, lack of choices.

Do you know Billnas personally? Do you know Nandy personally?

I don't.

I don't know their families, their educational levels, their maturity, their breaks and misfortunes in life, their religious and political affiliations if any, their true selves as opposed to the public persona. I don't.

Sometimes, people don't even know who they are themselves, because they are prone to changing all the time.

And if I knew them personally, I would call them.

So why not live and let live?

How do you know that Billnas and Nandy subscribe to your moral code regarding pregnancy and family?

You do know that your moral code regarding pregnancy and family is not universal, right?
 
Nimeamua nikupuuze.
 
Ndugu Kiranga nyie ndo wale mnaotetea ushoga kwamba ni uhuru binafsi. Kama kungekuwa hakuna kuongelea mambo ambayo hayako sawa kwenye jamii basi kusingekuwa na haja ya mahakama wala polisi. Kwa mfano wewe Kiranga itokee hata muujiza umepata mamilioni ya hela kisha nenda kaweke kwenye akaunti yako uone kama hutatafutwa utolee maelezo hata kama ni zako. Acha kutetea upuuzi kwa hicho kiingereza chako cha juhudi binafsi.
 
fuata yako unatuletea hasira zako za kushindwa maisha humu kama nasi tunawafahamu hao watu wako??????????????? wewe mtoto umemleaje? anyway mambo ya ngoswe mwachie ngoswe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…