Uwe unaelewa bwashee..... Umeambiwa ni uzinduzi!Kwaiyo anaruhusiwa kufanya mikusanyiko isiyo rasimi!
Bwashee uzinduzi una muhusu vip pole pole?Uwe unaelewa bwashee..... Umeambiwa ni uzinduzi!
Nakazia hapaIyo treni ni ya CCM au ni ya Serikali?
kama ya serikali polepole ana wadhifa gani serokalini?
Kilimanjaro Soo watu wa kukimbilia kuangalia train. Mkoa wa Mara alikotokea polepole kule sawa.hakunaga njia hata ya train.Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani ukizindua haupandi bwashee?Mbona unachjanganya habari mara kuzindua treni mara wamepanda wanaCCM.. so tuelewe nini hapo??
CCM watu wa ajabu Sana,train kipindi Cha mkapa,mwinyi,JK ilikuwepo hawakuikarabati.Leo wenyewe wanaikarabati kwa Kodi za wananchi wanashangia mbona hamkuikarabati kabla? Mlikuwa wapi?pesa mlikuwa mnapeleka wapi?Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!