Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Karne hii ya 21 mnazindua treni ya Mwaka 1900 huko???? CCM hamnaga akili kabisaKatibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!