Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Halafu siku nyingine usirudie kusema mkoa mzima umeenda kushuhudia mtungi wa changaa acha hiyo.......Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Bibi yangu kaenda shamba saizi sijui umemuonaje huko, halafu kwa taarifa tu, hapa moshi watu wanaendelea na shughuli zao