Kuwasili kwa treni ya abiria jijini Arusha kwa mara ya pili baada ya miaka 30

Kuwasili kwa treni ya abiria jijini Arusha kwa mara ya pili baada ya miaka 30

Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.

Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Halafu siku nyingine usirudie kusema mkoa mzima umeenda kushuhudia mtungi wa changaa acha hiyo.......

Bibi yangu kaenda shamba saizi sijui umemuonaje huko, halafu kwa taarifa tu, hapa moshi watu wanaendelea na shughuli zao
 
Hauko serious...........watu wmebeba bidhaaa za kwenda kuwapiga wageni watakaokuja kiufupi tunafuata fursa...
 
Iko wapi sasa hv maana tumekaa hapa masaa matatu sasa tunaisubiri arusha hapa.
 
Ndio mana lisu anawaambia miundombinu kabla ya uhuru ilikuwa inajengwa na marais wastaafu nao wamejenga miundombinu sasa inakuwaje awamu hii ndo ionekane miundombinu imeanza kujengwa wananchi wananyanyaswa hawapewi stahiki zao
Maigizo tupu
 
Sikuwahi kujua kama upumbavu ni ugonjwa wa kurithi,
We jamaa mbona umeandika utopolo namna hii?
Akili zenu huwa hazina akili nyie vijana wa CHADEMA. Mashirika yote ya umma yanasimamiwa na Serikali na CCM kwa njia moja au nyingine ndiyo Serikali yenyewe. Sasa wewe unashangaa nini Polepole kuwa mgeni rasmi katika hilo tukio? Usikurupuke kuandika pasipo kufanya utafiti, unadhalilisha chama chako wewe nyani asiye na jinsia
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.

Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Polepole kuzindua hii kitu wapi na wapi?

ndiyo maana Tundu Lissu anawapaga MATAGA za uso halafu wanaishia kulialia!
 
Hehehheh yani treni imfanye MTU aache shughuli zake!!
Labda sio moshi.
Msikusanye wanafunzi wa Primary na Sec, wanachuo pamoja na wafanyakazi wa umma. tumesema hivi sababu hamkawiagi nyie ili muonekane mmejaza watu kwenye TBC yenu.
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.

Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Ushamba tu
 
Amani kwako.

Leo jijini Arusha kwenye kituo cha gari moshi (train) kuna shuguli ya kipekee ambapo wananchi mbalimbali jwa wingi wamekusanyika ili kuipokea train ya abilia iliyotokea jijini Dar kupitia Tanga, Kilimanjaro na hatimaye jijini Arusha...
Wekeni picha acheni blahblah
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.

Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni zuzu. Unashangilia kazi iliyofanywa kwa kodi yako?
 
Back
Top Bottom