Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

What's Up wenyewe wanaweka status 🤣🤣
 
Nilikuwa naweka status kitambo ila siku moja nikajiuliza hivi huwa kwa Sababu ya kipi hasa! Sikuona cha msingi nikaacha
 
Kuna namna mtu anaweza akawa anaona status zako ila ww kwenye views haonekani wale wanaotumia GB WhatsApp nadhani kuna option hyo yaani utaona ana quote tu status yako ila kwenye views huwezi muona ni settings tu japo mimi niko pamoja na wasioweka mara kwa mara wale wanaoweka status mpaka zinakuwa kama tairi la baskeli mimi nawa mute halafu wengine ni wanaume inafikirisha sana
 
Hatumii hayo makitu..
 
Hapana msiishi kwa kukariri maana kuna wengine wanashinda online 24hrs ujue kuna kazi zinafanyika kupitia mtandao na kuhusu la kupost status au kutokupost havihusiani na mambo uliyoyaskia akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Huo ni ukale mcheki Mo dewji yupo active sana kwenye mitandao ya kijamii wanaosema hivo ni wale vijiba roho.
Wala sio vijiba vya roho, sema tu ni Interest au Hobby ya Mtu.

Ukisema habari ya Mo. na mwingine atakujibu mbona Bakhressa hayupo active kwny social medias?

Ni hobby ya Mtu tu bila kujalisha uwezo wa kiuchumi au lah

Binafsi sipendi issue za kujipost picha as in DP, Status etc nikiweka picha huwa inakaa muda mrefu mpaka kukumbuka kubadilisha

To me, posting status isiyokuwa na business issues...revenue model I mean, ni Utoto na Ushamba.
 
Namba Moja fikiria upya
 
WALIOSEMA TANZANIA TUMETOKANA NA NYANI, WALIKUWA SAHIHI SANA.
 
Mimi siweki sana.. ila nikiamuaa ni bandika bandua, memes twende, video snaps twende, mistari ya bible twende.. yan vurugu tu..
[emoji16][emoji16][emoji16],Kama mie tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…