Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Nikiangalia nahc ka kuna mtu alkua anamfukuzia.... sa kamua kumweka mpenziwe kweny DP ili aondoshe usumbufu..... kumbe anakil sombdy bila kujua .... mahaba nikate kate..
 
Ha! mi usithubutu kuweka sura yangu tu! Labda tuwe tumepiga pamoja apo ruksaaaaaaa!!!
 
Ni uamuzi binafsi...

Simu yake kanunua kwa hela yake....
Bundle zake amenunua kwa hela yake...
Whatsapp yake kadownload kwa hela zake iwe ni bundle au (kulipia kwa wenye iphone)

Hata wakiweka vifanyio vyao ni sawa tu...

Uhuru wa simu zao

haaaahaas nimecheka sana
 
Hahaaaa michepuko sio dili kabisaaa.....nimeweka na nimewekwa yan n full rahaaaa.
 
Ni maamuzi tu kama wengine wanavyoamua kuweka watoto na picha zinginezingine
 
mtoa maada ana mawazo binafsi..ila ni jambo la kawaida sana na wenda likawa na maana au lisiewe na maana,why asking silly questions in this free world? kama wewe hupendi acha na wanaopenda waendelee.
 
Unaweza kumuweka mtu kwny prfl na ukajikakamua na kastatus kazur lkn kumbe mwezio anakuona fala bora ukawa kauzu tu
 
Me cku akinilizmisha nimueke prfl lbd nimuandike R.I.P
 
Ishhhhh kwanini nishindwe kuweka. Picha ya me/ke ktk whatsapp yangu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…