Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha liushamba Lako
Mkuu uliachwa ukawekewa picha nini ikakuuma. Leo hii kweli unauliza swali la kiipuuzi namna hiyo. Kwann usiulize wanaoweka za mama zao au baba zao na dada zao na kaka zao
Wengine wana sura ngumu ukiweka utaulizwa mmmh... Huyo naye umemtoa wapi wakati wewe hapo ndio umekufa mpaka ukazikwa!!
Ni uamuzi binafsi...
Simu yake kanunua kwa hela yake....
Bundle zake amenunua kwa hela yake...
Whatsapp yake kadownload kwa hela zake iwe ni bundle au (kulipia kwa wenye iphone)
Hata wakiweka vifanyio vyao ni sawa tu...
Uhuru wa simu zao
Ni maamuzi tu kama wengine wanavyoamua kuweka watoto na picha zinginezingineHapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.
Me cku akinilizmisha nimueke prfl lbd nimuandike R.I.PHabari wana MMU.
Naheshimu sana mawazo yenu bila kujali yana maudhui ya aina gani kwani kila mtu amejaliwa karama yake na uwezo binafsi wa kutafakari mambo na kuyatolea maamuzi.
Back to the Topic,..
Kuna hili jambo, unakuta mtu kaweka picha ya mtu wa Jinsia tofauti na yeye, yaani kama ni mwanamke anaweka picha ya mwanaume, na kama ni mwanaume anaweka picha ya mwanamke huku akiambatanisha na maneno fulani fulani ya kimapenzi, kama ''I luv u hubby, sweetie'' e.t.c
Hawa watu wanaofanya hivi huwa wana malengo gani hasa? Au wanatangazia wengine kwamba tayari wanao wapenzi wao?
Kuna sababu gani za msingi za mtu kuweka picha ya mpenzi wake kama Profile picture yake kwenye WhatsApp, inasaidia nini?
Nawasilisha,..
Hahahaa, kabisa ukose mchumba kisa umemuweka mpita njia,ntamuweka mume tu....Dah mm niko tofaut yaam mjitu niuweke profile nipoteze bahati? Haiwezekani