siku nyingi mama,uko poa?
Hapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.
Kama Insta ndio balaa... Kila dakika "with my hubby" wakat hata hajakutolea shilingi.. Mkibwagana unafuta. Ukimpata mwingine tena unaanza.
Dah wana shughuli pevu!
ungempuuza usingei quote post yake...
btw sijui kwanini wanaweka may be kuonesha mapenzi, maybe attention maybe....
sasa ndo nimeelewa kwann umekuja na hii mada,sasa y usimuulize mpenz wako kwanza? Na kama ulimuuliza akasemaje???
Hongera mkuu,..