Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Mie sioni tatizo lolote lile, mwanaume/mwanamke badala ya kuweka picha yake anaamua kuweka picha ya mpenzi wake kwangu mimi sioni ubaya wa hili.

Sawasawa mkuu,..
 
ndio mana mimi nimeamua kuweka pic ya binti yangu......ndio kwanza yupo std one.
 
Hapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.

sasa ndo nimeelewa kwann umekuja na hii mada,sasa y usimuulize mpenz wako kwanza? Na kama ulimuuliza akasemaje???
 
Mapenzi ya maigizo hayo.....kuweka picha yako wala sio assurance kuwa upo peke yako coz huo mchepuko wake yaweza akawa na cm ambayo haina uwezo wa kuwa na whatsapp

Ukweli mtupu,.
 
Kama Insta ndio balaa... Kila dakika "with my hubby" wakat hata hajakutolea shilingi.. Mkibwagana unafuta. Ukimpata mwingine tena unaanza.

Dah wana shughuli pevu!

Utoto wakikua wataacha
 
sasa ndo nimeelewa kwann umekuja na hii mada,sasa y usimuulize mpenz wako kwanza? Na kama ulimuuliza akasemaje???

Hana majibu, anasema anapenda tu kufanya hivyo ndiyo maana nikatua kwa wadau hapa MMU nipate kujua black and white ya hili Jambo.
 
Hakuna shida yoyote relax ,ni vile tu mtu apendavyo wengine huweka watoto,wazazi,marafiki,masupeer star,wanyama,ndege,maua n.k

Ahsante kwa mchango wako mkuu,..
 
birthdays,annivesary,nyt out,kushow appriciation siku moja moja sio mbaya
.....sio wewe daily yeye ndo umempost alafu yeye walaaa sivyo alvyomo....
 
birthdays,annivesary,nyt out,kushow appriciation siku moja moja sio mbaya
.....sio wewe daily yeye ndo umempost alafu yeye walaaa sivyo alvyomo....

Yeah, good note mkuu,..
 
Back
Top Bottom