Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!




kwani anayeweka picha anatofauti gani na wewe ulobadili jina kujiita mrs fulani ?
 
Shida inakuja pale unaponilazimisha kuweka picha yako
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
 
Shida inakuja pale unaponilazimisha kuweka picha yako
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk

Kulazimisha ni issue nyingine mkuu,.
 
kama bado unawapanga kazi kwako.

Sio lazima iwe mimi ila kizazi cha sasa ndivyo kilivyo.(Angalia mastaa wa Bongo movies).

By the way way,mimi nimeweka picha ya my mom. ...Ndio mtu ninayempenda sana.
 
Kama Insta ndio balaa... Kila dakika "with my hubby" wakat hata hajakutolea shilingi.. Mkibwagana unafuta. Ukimpata mwingine tena unaanza.

Dah wana shughuli pevu!

Kizazi cha sasa hicho....Shida tupu. ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…