Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!


Anataka kujihakikishia kwa kuweka wazi kila mtu ajue yeye ndio mmiliki....
 
Haina maana, inafanana na ile ya kushirikiana account, we unachat na rafiki yako kumbe ni mkewe tabu tupu
 
Kuna ukweli fulaani eeenh!!!???!
 

Attachments

  • 1404626130790.jpg
    33.3 KB · Views: 314
Navyojua kwenye profile hasa hizi za mitandao ya kijamii(ukiondoa za kikazi au kiofisi )unaweza weka picha yeyote kutegemea na ulivyoguswa nayo. Nina marafiki kadhaa wa nchi za ng'ambo ambao kwenye profile zao wameweka picha za nyau na mbwa wao wawapendao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…