Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Dah...alafu mwenyewe unakuta umemtupia kwenye ma whatsapp, Fesibuku, Instagram kumbe watu wanakutafunia kiulaiiini......teh teh teh.

Ila anyway wacha watu wafurahishe nafsi zao bana.
 
Kama unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivi, napata shida kuamini kama utaelewa majibu ya wachangiaji.
 
Kama unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivi, napata shida kuamini kama utaelewa majibu ya wachangiaji.

Usipate shida mkuu hata majibu yako nimeyaelewa!
 
Dah...alafu mwenyewe unakuta umemtupia kwenye ma whatsapp, Fesibuku, Instagram kumbe watu wanakutafunia kiulaiiini......teh teh teh.

Ila anyway wacha watu wafurahishe nafsi zao bana.

Kama analiwa ni analiwa tuuu haijalishiiii
 
Mimi siku nikiamua namuweka ingawa haoni ila namuweka tu
 
unaokuta wenawekana profile picture alafu baada ya miezi miwili wana achana. ila ndio Tanzania yetu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…