Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

kulikuwa na kombi za sayansi, Arts na Biashara ila kwa sasa zimeongezeka kombi za dini ya kiislam

KAI - Kiswahili + Arabic (Kiarabu) + Islamic (Elimu ya uislam)

KLI - KIshwahili + Kiingereza + Islamic(Elimu ya uislam)

GKI - Geography + Kiswahili + Islamic (Elimu ya uislam)

Hapo zamani masomo ya dini yalikuwepo ila yalikuwa ni ya ziada tu kama ilivyo kwa mapishi, kushona, n.k. hayakuwa rasmi balo yalikuwa ni woto tu wa mtu kuyasomea. Na hata kwa wakristo kuna somo la Divinity.

Una maoni gani

1688653015253.png

>> Source / chanzo <<
 
We need more profession acha yaongezeke,

Waongeze hata fasshion design (ushonaji), Upishi, Uimbaji n.k

Yaani if possible unakuwa na Chuo kabisa cha kufundisha upishi, ukiingia mpaka unatoka ni full kupika tu.

Imagine mtu aliishia form 4, asome upishi practically for 2 years. Mama ntilie lazima watafutane kuiprove vibanda vyao maana watakuwa na competition saana na vijana wasomi wa upishi.

So, the more thw merier kwenye haya mambo
 
kulikuwa na kombi za sayansi (pcm, pcb, pgm, n.k) Arts (Hkl, Hge, Egm, n.k) na Biashara (Eca, Egm)

Kwa sasa zimeongezeka kombi za dini ya kiislam

KAI - Kiswahili, Arabic (Kiarabu) na Islamic (Elimu ya uislam)

KLI - KIshwahili, Kiingereza na Islamic

GKI - Geography, Kiswahili na Islamic

Hapo zamani masomo ya dini yalikuwepo ila yalikuwa ni ya ziada tu kama ilivyo kwa mapishi, kushona, n.k. hayakuwa rasmi balo yalikuwa ni woto tu wa mtu kuyasomea. Na hata kwa wakristo kuna somo la Divinity.

Una maoni gani
Sasahivi itafika sehemu kama huna kanzu hupati huduma
 
kulikuwa na kombi za sayansi (pcm, pcb, pgm, n.k) Arts (Hkl, Hge, Egm, n.k) na Biashara (Eca, Egm)

Kwa sasa zimeongezeka kombi za dini ya kiislam...
Kuna Mission maalum.

Ndalichako akiwa NECTA alipigwa Vita, na masheikh walikuwa wanaandamana kwenda NECTA.

Kikwete akamtoa, akabaki Msonde

Wakaendelea kusema, aliyebaki ni wale wale.

Samia ameingia, ghafla akamtoa Msonde.

Akaweka👇👇👇

Ni kazi maalum, inafanyika kimya kimya.
 
Back
Top Bottom