Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Nina uhakika kuna watu wanajipendekeza lkn ukweli ni kwamba wanamharibia!!Hivi, kuwa kiongozi ni kufanya tu yale unajisikia?
Huyu kiongozi wetu anapaswa kupingwa kila pahala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina uhakika kuna watu wanajipendekeza lkn ukweli ni kwamba wanamharibia!!Hivi, kuwa kiongozi ni kufanya tu yale unajisikia?
Huyu kiongozi wetu anapaswa kupingwa kila pahala
Chawa wa lumumbashi...Binafsi namuunga mkono nyie mbwa wa vatican endeleeni kupinga tu
Na bandari ndo keshawapa yani huu mpango wao tufungue macho kuhakikisha haufanikiwi maana naona wanatamani sana kujifanya Tz Islamic state si mnakumbuka hata mambo ya iocSamia anataka kuifanya Tanganyika Arab Country
😁😁we kwa upumbavu huo ni bora babako angevaa condom usizaliwe, kiarabu kina uhusiano gani ni upuuzi wenu huo. Km kuna watu wanahitaji kuisoma we kinakuwasha nini? Mbwa koko kweli
Wapumbavu wapuuze.Haujawaona hao wapumbavu wenzio.
Kwahiyo hao watoto wanafundishwa Islamic kwenye mtaala wa Serikali?Inapendeza sana lakini wagalatia watapinga na hili.
Ngoja niwatag Wagalatia wakereketwa .
Cc : Maghayo Retired vibesen xxx uwe hodari
Nafurahi kuona Wagalatia wakiweweseka na mambo madogo kama haya ngoja nisikilizie mapovu .
Dj leta Wagalatia...
Arabic ni lugha tu kama English lugha ya Kianglikana.Arabic
Hizo mbinu zenu chafu na dini yenu feki tushazibaini Ila Mungu tunaemuabudu sisi hamumuwezi hamuoni kwamba mnakwama kila kona mmebaki kutukana tu....mtaendelea kuwa chini na mwisho tu😁Mnauwezo wa kufanya kitu nyie mbwa wa vatican?
Jibu :Sifahamu .Kwahiyo hao watoto wanafundishwa Islamic kwenye mtaala wa Serikali?
Ili wakifaulu wawe kina nani? Masheikh.....
Serikali inayo misikiti ya kuwapeleka hawa masheikh wapya?
Itafahamika tuHao ni ushamba na udini ndiyo unawasumbua
Wapo amabao wanapiga kiarabu hii itakuwa fursa kubwa sana na itaongeza hadi wigo wa ajira kwa wale maprofeshino wa lugha ya kiarabu.Arabic ni lugha pia kama lugha nyingine..
Hii inatupa shida sababu tayari tumepewa elimu kwa lugha ya KINGEREZA
mazafanta
Yale maandishi wanayaona ni magumu sanaa hadi kuyatamkaMimi sio muislam
Ila mbona kwenye hizo combi kiingereza kipo tena miaka mingi na ndio lugha ya kufundishia elimu ya juu