Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

Kuna Mission maalum.

Ndalichako akiwa NECTA alipigwa Vita, na masheikh walikuwa wanaandamana kwenda NECTA.

Kikwete akamtoa, akabaki Msonde

Wakaendelea kusema, aliyebaki ni wale wale.

Samia ameingia, ghafla akamtoa Msonde.

Akaweka👇👇👇

Uteuzi: Dkt. Said Ally Mohamed ateuliwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Nchini

Kwa mujibu wa UNO Tanzania idadi ya watu ni 63% wakristo 34 % waislamu 3% dini nyingine Ila huko serikalini uteuzi ni 88 % ni waislamu ipo siku nchi hii itaingia kwenye machafuko kwa uzembe wa kufikiri tu USSR Acha uongo ndugu kwasababu ya chuki tu,si katika nafasi za kuteuliwa au zile za...
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com

Ni kazi maalum, inafanyika kimya kim
 
Kuna watu wakiona neno Kiarabu wanaweweseka na wanakosa amani ,wanaweza kusema Wameuzwa hao watu ni wajinga sana..
Kuna mashoga wakiona kiarabu wanaona ndio lugha ya peponi
 

Attachments

  • 326148121_136770715657886_1739434034606899325_n.mp4
    5.8 MB
Binafsi naona ni sawa tu. Wengine malengo yao kuwa Masheikh au walimu wa Madrasa. Kuweka balance angeweka na combinations za Bible studies twende sawa.

Ifikapo 2030 tungeweza kuwa na madrasa kila mtaaa bila kusahau manabii na mitume kila uchochoro.
 
Back
Top Bottom