Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunaonesha umeshiriki shule. Kutokea mwaka fulani na ukahitimu mwaka fulani ila hakina matokeo wala huwezi kuombea kazi.Sawa kile anachopewa shule huwa kinaonyesha nini?
Matokea yapo mkuu sikuiz unapewa na matokea inaonesha mkuu basi kilikuwa chet maana.masomo.yote alifeliKunaonesha umeshiriki shule. Kutokea mwaka fulani na ukahitimu mwaka fulani ila hakina matokeo wala huwezi kuombea kazi.
Hata hiyo Tanganyika wanayodai haitoweza kufika popote kukiwa na mitazamo ya chuki namna hii .Utaona teuzi ikitoka hata Idadi ya Waislamu ikizidi kidogo ni kelele kama nidhambi Waislamu kuongoza inchi hii wao ndio wanastahili pekee kinyume wakiwa watu wa dini yao wanakaa kimya .Tupendane Watanganyika vita yetu ni moja kumtoa adui CCM na ni lengo lao tugeukiane sisi kwa sisi hizi ni mbinu.
YesKatiba mpya. Katiba mpya. Katiba mpya.
Kwahyo hiyo knowledge ya Islamic itamsaidia nini mwanafunzi akiwa na ufaulu mkubwa!?View attachment 2680112
Kuna siri nyuma ya pazia? Kuna watu wana jambo lao? Kama sio kwa nini Bible knowledge haipo? Kwa nini limekuja awamu ya 6?
=====
Hii ni orodha ya masomo kwenye TAHASUSI za Tanzania Bara pamoja na Zanzibar, kwa Zanzibar wana masomo ya dini yanayoingia kwenye TAHASUSI tofauti na Tanzania Bara.
A-level subject combinations for Tanzania Bara (Mainland) and Zanzibar
If you’re looking for A’level Combinations in Tanzania, This guide will help you as we have provides all information about A’level Combinations in Tanzania.
Doing or choosing the right Combination after O’level is very mandatory, since professional career begins in choosing the right Combination and it also plays a vital role in professional life. In the current scenario with so many available options for courses and tough competition, it is very hard and confusing to decide for both students and parents. With so many influential people around, we often get swayed or simply do what is toNaturalld by our parents.
But it is very important to know and analysis your interests as well as options available in that Field.
Let us have a look of all A’level Combinations in TANZANIA to understand your career option
in a better way:
The following are the List of A’level Combinations in Tanzania.
Tanzania Bara (Mainland)
Zanzibar
- PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
- PCB - Physics, Chemistry and Biology
- PGM - Physics, Geography and Mathematics
- EGM - Economics, Geography and Mathematics
- CBG - Chemistry, Biology and Geography
- CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
- CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
- PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
- PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
- HGL - History, Geography and English Language
- HGK - History, Geography and Kiswahili
- HKL - History, Kiswahili and English Language
- KLF - Kiswahili, English Language and French
- ECA - Economics, Commerce and Accountancy
- HGE - History, Geography and Economics
- PeGE – Physical Education, Geography and Economics
- KFC – Kiswahili, French and Chinese
- KEC – Kiswahili, English and Chinese
Schoolpvh

- HKF - History, Kiswahili, French language
- AHG - Arabic language, History and Geography
- KAR - Kiswahili, Arabic language, and Islamic
- KLG - Kiswahili, English language and Geography
- AKF - Arabic Language, Kiswahili and french language
- AHK - Arabic language, History and Kiswahili
- AKL - Arabic language, Kiswahili and English language
- KLI - Kiswahili English Language and Islamic
- GKI - Geography, Kiswahili and Islamic
- CBM - Chemistry, Biology and Mathematics
- HLF - History, English language and French language
- PeCB - Physical Education, chemistry and Biology
- PcoM - Physics, Computer and Advanced Mathematics
Hakuna anayeongelea lugha ya kiarabu kufundishwa.we nenda kaharishe huo uvundo wako, kiarabu ni dini? Umejaa chuki za kidini, kiingereza, kifaransa na kichina mbona huulizii? Kenge we
At the end, mchele na pumba lazima zitatengana.Ni kuwasaidia ufaulu, wala usikonde Wakristo hawana tabia ya ulalamishi.
Sijawahi kufaidika kwa lolote kwa mtu wa dini yangu kuteuliwa, hayo ni manufaa yake na familia yake Tena siyo wote.Hata hiyo Tanganyika wanayodai haitoweza kufika popote kukiwa na mitazamo ya chuki namna hii .Utaona teuzi ikitoka hata Idadi ya Waislamu ikizidi kidogo ni kelele kama nidhambi Waislamu kuongoza inchi hii wao ndio wanastahili pekee kinyume wakiwa watu wa dini yao wanakaa kimya .
Brother Malcolm X aliongea kuhusu watu kuhangaika na chuki za kidini wakati nchi ina matatizo makubwa na watu wanafaidika wanapoona mnazozana coz mnatoka katika mstari mmoja wa kudai haki ,uwajibikaji na utawala bora.View attachment 2680284
View attachment 2680287
hapana tulikofikia huu sasa tutauita mchepuko wa adifansiView attachment 2680112
Kuna siri nyuma ya pazia? Kuna watu wana jambo lao? Kama sio kwa nini Bible knowledge haipo? Kwa nini limekuja awamu ya 6?
=====
Hii ni orodha ya masomo kwenye TAHASUSI za Tanzania Bara pamoja na Zanzibar, kwa Zanzibar wana masomo ya dini yanayoingia kwenye TAHASUSI tofauti na Tanzania Bara.
A-level subject combinations for Tanzania Bara (Mainland) and Zanzibar
If you’re looking for A’level Combinations in Tanzania, This guide will help you as we have provides all information about A’level Combinations in Tanzania.
Doing or choosing the right Combination after O’level is very mandatory, since professional career begins in choosing the right Combination and it also plays a vital role in professional life. In the current scenario with so many available options for courses and tough competition, it is very hard and confusing to decide for both students and parents. With so many influential people around, we often get swayed or simply do what is toNaturalld by our parents.
But it is very important to know and analysis your interests as well as options available in that Field.
Let us have a look of all A’level Combinations in TANZANIA to understand your career option
in a better way:
The following are the List of A’level Combinations in Tanzania.
Tanzania Bara (Mainland)
Zanzibar
- PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
- PCB - Physics, Chemistry and Biology
- PGM - Physics, Geography and Mathematics
- EGM - Economics, Geography and Mathematics
- CBG - Chemistry, Biology and Geography
- CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
- CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
- PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
- PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
- HGL - History, Geography and English Language
- HGK - History, Geography and Kiswahili
- HKL - History, Kiswahili and English Language
- KLF - Kiswahili, English Language and French
- ECA - Economics, Commerce and Accountancy
- HGE - History, Geography and Economics
- PeGE – Physical Education, Geography and Economics
- KFC – Kiswahili, French and Chinese
- KEC – Kiswahili, English and Chinese
Schoolpvh
- PCB - Physics, Chemistry and Biology
- PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
- PGM - Physics, Geography and Mathematics
- EGM - Economics, Geography and Mathematics
- CBG - Chemistry, Biology and Geography
- CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
- CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
- PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
- PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
- HGL - History, Geography and English Language
- HGK - History, Geography and Kiswahili
- HKL - History, Kiswahili and English Language
- KLF - Kiswahili, English Language and French
- ECA - Economics, Commerce and Accountancy
- HGE - History, Geography and Economics
- PeGE – Physical Education, Geography and Economics
- CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
- HKF - History, Kiswahili, French language
- AHG - Arabic language, History and Geography
- KAR - Kiswahili, Arabic language, and Islamic
- KLG - Kiswahili, English language and Geography
- AKF - Arabic Language, Kiswahili and french language
- AHK - Arabic language, History and Kiswahili
- AKL - Arabic language, Kiswahili and English language
- KLI - Kiswahili English Language and Islamic
- GKI - Geography, Kiswahili and Islamic
- CBM - Chemistry, Biology and Mathematics
- HLF - History, English language and French language
- PeCB - Physical Education, chemistry and Biology
- PcoM - Physics, Computer and Advanced Mathematics
Tatzo sio Kiarabu, nahisi tatzo ni islamic.Mimi sio muislam
Ila mbona kwenye hizo combi kiingereza kipo tena miaka mingi na ndio lugha ya kufundishia elimu ya juu
Kama haufahamu faida ya somo hilo na ukafurahia kuwepo hapo, hapo Nitakiuta shabiki wa kidini.Jibu :Sifahamu .
Weka povu lengine endelea kazi yangu hapa ni kutathini mapovu.
Sasa mashehe au wachungaji wafundishwe kwa kodi za hata wasio na dini?Binafsi naona ni sawa tu. Wengine malengo yao kuwa Masheikh au walimu wa Madrasa. Kuweka balance angeweka na combinations za Bible studies twende sawa.
Ifikapo 2030 tungeweza kuwa na madrasa kila mtaaa bila kusahau manabii na mitume kila uchochoro.
Kwanini unamtambua adui mdogo kuliko wote!?Adui yetu ni CCM.