Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

Acha kukashifu Imani ya mwenzio, tujadiliane kwa hoja na staha.
Kaanza nimemaliza halafu sijui kakimbilia wapi nilikuwa nasubiri jibu lake itaneni basi mje mnijibu na umshauri na yeye

Waswahili wanasema 'akuanzae mmalize' arudie tena alone cha mtema kuni
 
Ndiyo maana yule jamaa aliita SATAN VERSE
 
Acha wivu ushawahi kumuona mtu amesoma Arabic au Islamic akawa na akili au kujitambua..? Kuna vitu ni Nonsense acheni wajiburudishe
 
Wangeweka na comb za dini zingine kwa uzito huo huo, usijitoe akili
hichi ndicho mlichotakiwa mkiseme.lakn sio kama mleta mada alivyozungumza.kaongea kwa chuki kama islamic haina umuhimu.kitu ambacho si kweli.
 
Hayo masomo anayoandikwa kuanzia kulia kwenda chini hayawahusu watoto wetu.
Hayo Ni special kwa wanaosaini mikataba ya bandari bila kuusoma na kuu elewa.
 
Soma vizuri acha kujibu bila kutumia akili
Islamic Nayo ni lugha ?
Aiseeee umetoa jibu murua kabisa. Inatakiwa waweke na combimation za dini nyingine. Wakiweka na Ukristo, waweke na dini za mizimu za akina Yericko Nyerere au combination inayoinclude atheist akina Kiranga . Kimsingi tuwe wakweli, kwa hili Mama katokota. Mi nilikuwa namkubali sana Mama ila kwa sasa, hamna kitu.
 
Divinity imtolewa na kuwekwa Arabic language and Islamic. Kweli mpango wa mwarabu kuchukua Tanganyika yote hii.
We mama wewe, haya time will tell...😭
 
hichi ndicho mlichotakiwa mkiseme.lakn sio kama mleta mada alivyozungumza.kaongea kwa chuki kama islamic haina umuhimu.kitu ambacho si kweli.
Huwezi kuweka masomo ya dini kwenye mtaala rasmi wa serikali, tunamahitaji mengi kama taifa.
Madrassa zingetosha.
 
kuna hasara gani watu wakijifunza dini zao vyuoni?
Haitakiwi kuwa mtaala wa serikali.
Ina maana hao walimu wa dini watakuwa wakilipwa mshahara na serikali ( Ajabu hii kwa serikali isiyo na dini).
Mtaala wowote wa Elimu una malengo unataka kufanikisha, huu wa dini lengo lake ni nini?
Kama taifa tumeona kuna upungufu kwenye suala la Dini kwamba linahitaji kuongeza Nguvu?
Hao watoto unaowafunza dini, unataka waje kufanya nini baadae? ( career)
Maswali ni Mengi ukijiuliza unabaki unashangaa tu.
 
Kama wanaosoma ni waislamu na hailazimishwi kwa imani nyingine, wache wasome tu...
 
Zanzibar ni ya Waislamu ndio maana mfungo ukianza marufuku kula hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…