Kuweni makini na hakikisheni mkitoa pesa benki mnapata ujumbe wa salio lililobaki

Nimefanya kazi bank like 2 years, nafahamu ushenzi wote. Lakini hakuna wizi rahisi wa style hiyo. Ni either ulitoa mwenyewe usiku ukiwa umelewa. Au kuna mtu anajua PIN yako. Au umepigwa na wakala kama maelezo hapo juu.
 
digital footprint. huo muamala wa lak tano lazima statement ioneshe ni ulitoka kwa njia gani wapi na receipt number. wao bank hawatak labda kukwambia ila wakichkua hio recipt no na tarehe itajulikana ulicash out wap kwa mahali, muda siku na terehe .
 
Nimefanya kazi bank like 2 years, nafahamu ushenzi wote. Lakini hakuna wizi rahisi wa style hiyo. Ni either ulitoa mwenyewe usiku ukiwa umelewa. Au kuna mtu anajua PIN yako. Au umepigwa na wakala kama maelezo hapo juu.
Napenda sana kujua A,B,C za kazi ya bank ,....
 
Ukweli ni kwamba hutarudishiwa hiyo hela na bank.We chakufanya kwanza nenda bank waambie wafungue Camera zao waone aliyechukua hela zako kwa kadi yako.

Kama hiyo imeshindikana waangalie je siku ulivyotuma hiyo tarehe ilikuwa saa ngapi.Na ulivyotuma kama kuna mtu katuma mara mbili hiyo interval ikoje na je alikuwa ni wakala wa wapi.
Kwa kawaida ukituma hela kuna risiti unapewa najua huwezi kuwa nayo lakini kwenye computer za benki iko kwenye memory
Na ulivyotuma hiyo hela lazima uli sign sasa wakuonyeshe mahali ulipo sign hiyo laki tano
hebu fanya haya halafu uje inbox
 
Bank statement inaonyesha pesa imetoka Atm au wapi ?

na wewe unadai umetoa 50k means 450k uli iacha na bank statement inaonyesha umetoa 500k badala ya 5k Si ndio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…