King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ila naona mara nyingi Spy aka Mtumishi wetu anatolewa Knockout na Shemasi Kigogo.Watu wa vitengo wanapo vutana, ujue kuna kitu hakipo sawa mahala flani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila naona mara nyingi Spy aka Mtumishi wetu anatolewa Knockout na Shemasi Kigogo.Watu wa vitengo wanapo vutana, ujue kuna kitu hakipo sawa mahala flani
😀😀😀 huwezi pewa TISS yote wala JWTZ ( TPDF ) hata Tanzania Police Force yote, na hitokuja tokea hiyo kitu.Juu ya diwan,wapo wanne na ambao yeye mwenyewe hawajui na hawaripoti kwake..na hawapo nchini....
haha wana harakati hao wanaweza kuwa ni cover up ya serikali. group of people waliopewa kazi maalum ya kuvua watu wenye mrengo wa kipinzani. then turn them in.Kuna wanaharakati kama unawajua kwa ukaribu ni waoga tu lakini kutwa kuinanga serikali alafu hawaguswi! Nanga wewe sasa! Tafuta ugali wako achana na mambo ya watu usiowajua.
Bado miaka 13 kuwa nje ya system, kuna mambo mengi sana yana parakanganyika. Labda kama kuna genge lakesuch information ni ngumu kuzifaham. mtu kama huyo hawezi weka sources wake nje. why?
the moment anaweka.. ata wa expose wenzie au mtandao wake wote anao shirikiana nao.
how ever kwa issue ya kigogo its pretty different.
Shemasi lile ni genge, na inawezekana ni active member wa TISS. Ila huyu tunajua alitoka kitengoni kitambo labda kama bado anavuta mshahara kitengo, maana huwezi jua. Hawa binadamu hata sio wa kuwaamini.Ila naona mara nyingi Spy aka Mtumishi wetu anatolewa Knockout na Shemasi Kigogo.
Yupo mmoja huko nyuma alipewa onyo la kunadili mwenendo wake juu ya mambo matatu aliyokuwa akiyaratibu..😀😀😀 huwezi pewa TISS yote wala JWTZ ( TPDF ) hata Tanzania Police Force yote, na hitokuja tokea hiyo kitu.
kuna watu mpaka wana staafu kwenye hii idara.. wanakuwa na mitandao yao ndani ya idara.Bado miaka 13 kuwa nje ya system, kuna mambo mengi sana yana parakanganyika. Labda kama kuna genge lake
Kabisa tuwaache wanajuana ,washapewa mafaili yao kila mmoja mmoja kwahiyo kila mtu anamuona mwenzake ni threat.Shemasi lile ni genge, na inawezekana ni active member wa TISS. Ila huyu tunajua alitoka kitengoni kitambo labda kama bado anavuta mshahara kitengo, maana huwezi jua. Hawa binadamu hata sio wa kuwaamini.
Inawezekana unachosema. Ila kwanini wamekimbia kutoa taarifa ? Ndipo napopata mashaka nao, kwasababu wote wanataka ku prove kwamba ni bora na kuonesha matundu ya system.. ina indicate kuna kitu na kwao hakipo sawa, na hata wanafunzi wao walio waacha ni hivyo, like father like son.. ingawa haiwork 100%kuna watu mpaka wana staafu kwenye hii idara.. wanakuwa na mitandao yao ndani ya idara.
see haijalishi umeondoka miaka 50 or not?
yes mengi yanaweza kutokea but kama ina mtandao dhabiti.. tuseme former colleges.. work mates.. au kama ulikuwa mkufunzi. una wanafunzi ambao umejenga nao bond. ni rahis kutengeneza ring.
all unachohitaji ni proper communication.
Duuh!!!.hatar hii ila nimeipenda saanaJuu ya diwan,wapo wanne na ambao yeye mwenyewe hawajui na hawaripoti kwake..na hawapo nchini....
😀😀😀😀.. Kwenye idara za kiusalama Tanzania imejitahidi sana, japo watu tunabeza. Na hata hili la kusema Rais anataka kujiongezea mda haliwezi tokea kwenye nchii hii kamweYupo mmoja huko nyuma alipewa onyo la kunadili mwenendo wake juu ya mambo matatu aliyokuwa akiyaratibu..
Na wala hakunjua onyo lile limetoka wapi akaanza kufatilia lilikotoka..akapewa la pili na la tatu..kisha maamuzi yakafanyika toka gaboroune room 103..aliishia kula risas 14...
Wanaojua beacon za nchi hii sio diwan wala magifuli
Inawezekana, ila nae anategemea watu vile vile.. ametoka kitengoni lini na amedumu kitengoni mda gani ? Hawa jamaa wanachosha acha nikapige zege langu tu. Familia yangu inanipenda.. hapa unaweza kosea andika hapa ukatafutwa bureKabisa tuwaache wanajuana ,washapewa mafaili yao kila mmoja mmoja kwahiyo kila mtu anamuona mwenzake ni threat.
Ila Shemasi yule jamaa nimemvulia kofia ingekuwa ni genge la watu wangekuwa washasnitchiana ,yule ni oneman show ,hapoi haboi yaani spana kuanzia august 2020 mpaka leo hajawahi kupumzika...24/7.
NotedYupo kwenye mtandao flani hivi maarufu Duniani,anajiita"Spy" Eti alikimbilia Ughaibuni lest he would be safe ,Eti akiwa Bongo atadhurika.
Huyo mtu ni HATARI zaidi ya nyoka,kazi yake kubwa ni kujifanya yupo Upinzani na mkosoaji wa Serikali,kumbe ni Traitor,na Bado yupo kitengoni, amekamatisha wengi mno waliodhani ni mwenzao kumbe ni Traitor.
Huko Ughaibuni pia yupo kikazi, na anajifanya Eti hajawahi kuja Bongo Tangu aondoke,kumbe mara kibao tu anakuja kwao na kula kambare Kama Kawa yaani.
Mambo anayoandika huko mtandaoni utaamini kabisa kuwa he's not part of the government's body kumbe yupo kazini.
Kazi kwenu.
Inawezekana, ila nae anategemea watu vile vile.. ametoka kitengoni lini na amedumu kitengoni mda gani ? Hawa jamaa wanachosha acha nikapige zege langu tu. Familia yangu inanipenda.. hapa unaweza kosea andika hapa ukatafutwa bure
Aaah! Amerika wana uhuru miaka kibao iliyopita haya walishafanya, ikafikia mahala wakaamua kustaarabika tu. Sie bado, ila one daya na sie tutakuwa kama wao.. hakuna mazuri yasio na gharama.Nawashauri wajikite kwenye ujasusi wa kiuchumi ndio watalisaidia taifa ila haya mambo ya kufatilia nani kacomment nini kisha kumtafuta ni matumizi mabaya ya kodi zetu ,,,America watu wanamtukana rais halafu hakuna kutafutana.
Dunia imejaa maslahi tu, watu wakishaona ona hunafaida nao, wanakumwaga tu, siku wakiwa wanakuhitaji wanakuvuta tena.. na unakuta huna nguvu za kugoma.. ndio maana mie nimeamua kubeba zege langu, mambo mazuri mazuri ya dunia nayapenda ila yana taabu sanaaaWakat wa kampen 2015 alikuwa mlemgo flan kwa matazamio flan..serikali ilipoumdwa na yale matazamio yake kutofanikiwa ..akageuza kikombe ...hayuko smart sana maana anamiss uwezo,wa kufungua milango mingi...
Alivurunda akawekwa nje..na ambako hajaridhika sana
Huenda kigogo ni mmoja kati ya hao wanne!Juu ya diwan,wapo wanne na ambao yeye mwenyewe hawajui na hawaripoti kwake..na hawapo nchini....