Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

Ndugu Mwanamke unavyozidi kumpenda ndio unavyozidi kuangamia. Usipende kama hauna ndugu ? Kuwa open minded mwache mwanamke akufanye umpende au umchezee usiweke hisia kabisa.
Mkuu mbona unatoa SoMo gumu sana
 
Duh!pole kaka ila shukuru amekuwa muwazi kwakoπŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡
 
Mkuu mbona unatoa SoMo gumu sana
Hapana ndugu yangu mwanamke usimtangulizie upendo. Kaa nae ujue yupoje, unaweza kukazana kuhonga laki kumbe ni wa 20000. Unaweza ukaweka mpango wa kuoa kumbe anataka kukuchuna aendeleee na mambo yake. Wanaume wengi tunaingia matatizoni kwa sababu tunawekeza bila kuwa na taarifa sahihi. Ingia ukiwa mweupe na acha mazingira yakuongoze, dunia itakufundisha mengi sana. Enzi zangu nilishawahi kumwogopa mwanamke kumbe bia mbili tu analainika. Hakuna mtu alikuwa anajua maana huyu mwanamke alikuwa anakunywa kwa kujificha. Mpe nafasi awe free halafu yeye mwenyewe atakuonesha yupo level gani. Usiharakie kuwekeza au kujitoa bila kujua yupo level gani. Na kwa dunia ya leo wengi wao ukikaa nao ndani ya masaa machache ushajua.
 
Tatizo kaka alikuwa ashapenda ....usimlaumu
 
pole sana mkuu, sio single mother wote wapo hivi inategemea ila unapaswa tu kuwa makini na mtu wa kuwa nae umpate sahihi, kwahiyo move on utapata mwengine kubali huyo sio chaguo lako
Unamshauri ajaribu tena single mother mwingineπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kuna single maza nampenda lakin kwa andiko hili sina budi kumuacha kwa usalama wa afya ya akili yangu kabla sijapigwa na kitu kizito kama mleta mada.
 
Tushasema sana Humu ndani, But some people will never Learn, Learn or Perish!
 
Wanaume wengi tu wanaumizwa na single mother Ila hawakomi, Single mother hata kukupakazia umebaka mwanawe au umemlawiti ni kazi ndogo sana!
Hakuna baba asiye na upendo na damu yake hata awe maskin vipi tatizo Ni viburi vya wanawake wajinga!
Hili nalo neno....tatizo mbususu zao tamu ukionja tuu unasahau ushauri wote
 
Yani umeniudhi hizo msg zako umeweka kuwa ndeefu ungemjb tu sawa au hata kukaa kimya kabisa ukishajua malaya mchukulie kama malaya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…