Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine matatizo mnajitakia wenyewe!! Utamwaminije mtu kiasi hicho?? Ulipe ada Kwa mtoto ambae sio wako, halafu ulie lie!! hukujua kama huyo sio wako!? buree kabisa!!
Single maza tena ukalipia ada kiumbe wake..? Afu na pango ukalipia. Mwamba umetuangusha. Hawaachanagi wazazi hawa. Unge F@<[ kisela ukajikataa
Noma sana!Kila. Siku mnaambiwa humu mna kaza fuvu. Next time unahitaji viboko
And next time epuka mwanamke ambae bado ana love na ex wake. Else utakujwa pigwa tukio
Mnaona na meseji ila bado tu hamuamini
One soldier down! Mwamba siyo bure itakuwa na mapungufu ama hujui kucheza game au una sura ya ugoko wa nyani!😁😁😂😂😂
Apige show ya mauji😆😆😆Kama vipi muombe mpige nae shoo ya mwisho mwisho halafu kandamiza kama yule mjeda mstaafu wa Tabora aliyekandamiza maQu hadi wakakata moto 🤣🤣
😀😀Apige show ya mauji😆😆😆
HEee doly.aisee mademu wa majina hayo ni shidaaa fanya utafiti nipe mrejesho ni shidaaaa.