Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,913
- 2,662
Hawa ni kuku wa nyama (broiler)ni aina gani ya kuku?
kuku mmoja anatumia gharama kiasi gani kwa 4 weeks?Hawa ni kuku wa nyama (broiler)
Kujibu swali hili gharama kwa kuku 1 inarange 5000 hadi 6000kuku mmoja anatumia gharama kiasi gani kwa 4 weeks?
Ikiwa kuku amegharimu 6k ww unamuuza pesa ngap???Kujibu swali hili gharama kwa kuku 1 inarange 5000 hadi 6000
8500 hadi 9000Ikiwa kuku amegharimu 6k ww unamuuza pesa ngap???
Maana yake faida ni 3k kwa kila kuku ambapo kila kuku anakulipa Sh 100 Kwa siku faida , ni sawa na kusema katika 9K ya mauzo 66% ni gharama za uendeshaji. Je unafuga kwa wingi gani??? Ili kuna jambo tueleshane8500 hadi 9000
Msimu mdogo kuku 400 ila kwenye kipindi cha peak kuku 900 kwa batch moja na hapa kuku wakifikisha siku ya 18 wengine wanaingia ili kucover mzunguko wa clientMaana yake faida ni 3k kwa kila kuku ambapo kila kuku anakulipa Sh 100 Kwa siku faida , ni sawa na kusema katika 9K ya mauzo 66% ni gharama za uendeshaji. Je unafuga kwa wingi gani??? Ili kuna jambo tueleshane
Asante kwa details nzur sana please hebu toa mchanganuo wa gharama za 6K inainclude vitu gani??Msimu mdogo kuku 400 ila kwenye kipindi cha peak kuku 900 kwa batch moja na hapa kuku wakifikisha siku ya 18 wengine wanaingia ili kucover mzunguko wa client
mchanganuo huu unasimamiaAsante kwa details nzur sana please hebu toa mchanganuo wa gharama za 6K inainclude vitu gani??
Niko mkoa wa mbeyaUpo mkoa gani
Tusaidie hio folmula ya chakula unachojitengenezea mtaalamu.Nimekuwa katika industry ya kilimo na ufugaji na nimejifunza mengi kwani kuna changamoto nyingi kuanzia unapoweka kuku bandani siku ya kwanza hadi unawatoa.
Kila wiki katika ufugaji inakuja na changamoto yake , umakini hasa unaitajika siku za mwanzo ukianza vibaya utaona kila rangi na unaweza kulitelekeza banda kwa uzembe , mfano kwa mkoa niliopo kuku uanza kutoka siku ya 25 kufikia siku ya 30 kama soko limekaa vizuri wanakuwa wameisha bandani na hapa ndo trick ya ulishaji wa chakula ilipo ili kufikia uzito mzuri wa kilo 1.8 hadi 2 inapogonga siku ya 28.
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa kuwa watu wanatumia bidhaa zisizo faa kunenepesha kuku hao jambo ambalo kwa upande wangu sina uhakika nalo kwani mm na uzoefu wangu nimekuwa nikitumia chakula cha makampuni na portion ya kuchanganya mwenyewe kwa formula ambazo naendelea kuziboresha kila batch na matokeo ni mazuri sana . Pchani ni kuku wa siku 28.
Karibuni wadau tushare madini hasa ya ghalama hasa inayogharimu kila kuku mpaka kumtoa ,madawa na mbinu za kuyafikia masoko
View attachment 3654566
Nguvu kazi, mabanda, Dactar (constant) pia uziweke hata hivyo gharama ya 6K per kuku ni kubwa ujitahidi kupunguzamchanganuo huu unasimamia
Kifaranga
Chakula
Umeme
Maji
Mkaa
Maranda
Dawa+ chanjo
Mtaalamu, hvv bila madawa broilers hawafugiki?Jambo jingine nililoliona katika industry ya ufugaji ambalo linahitaji umakini ni matumizi ya madawa hasa mfano OTC au zile za kuanzishia vifaranga zinakuwa na ufanisi kidogo sana wa kutoweza kuwakabili vimelea wa ugonjwa hasa wa typhoid na cholera katika kipindi cha mwanzo wa ukuaji lakini pia mafua nayo ni changamoto sana katika kipindi hiki ni vyema mfugaji kuendelea kujielimisha kila siku na kuangalia product za makampuni zinazotoka ili angalau vifo viwe asilimia 0.5 had 1 hadi kuku wanaenda sokoni
Unajua kazi ya OTCMtaalamu, hvv bila madawa broilers hawafugiki?
Mtaani huku watu hawali kwa kigezo kuwa n kuku wanasemekena wanakuzwa kwa madawa....yaan kuku mwanzo mwisho ni kulishwa hayo ma OTC n.k