Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

9327.jpg

Hii dawa uwa napendelea kutumia hii kwa coccidiosis kwani ni dawa inayofanya kazi kwa haraka na dozi ni siku mbili tu hii kila baada ya siku 14 unawapa inatibu na kukinga .

9329.jpg

Hiyo uwa na tumia kama growth promoter pamoja na amino total . Kwa ujumla hizo dawa ndo natumia sana katika ufugaji wangu wa mda wote.
Na kuweka v rid kwenye maji ya kukanyaga na uwa nayabadili kila wiki zaidi ya dawa hizo ni chanjo gu kama newcastle, gumboro , na fowl pox ambazo huwa nazingatia hasa kwa chotara
 
35102.jpg

Tukiwa tunatest mitambo kuona siku 50 zijazo tutakuwa na matokeo gani.
Ni kheri ufanye jambo utaweza pata chochote kuliko kutofanya kabisa
 
View attachment 3684221
Tukiwa tunatest mitambo kuona siku 50 zijazo tutakuwa na matokeo gani.
Ni kheri ufanye jambo utaweza pata chochote kuliko kutofanya kabisa
Mkuu Hawa ni aina Gani ya kuku?, mm nategemea kuwekaa chotaraa wiki kadhaa zijazoo natamani nipate elimu ya kutosha kuhusu Hawa kuku, maana nmepitia kipindi kigumu sanaa kiuchumii nmezikaa helaa zanguu Kwa awamu kadhaa sio mchezoo. Je naweza pata mawasiliano yako🙏🏿mkuu unipe muongozo
Natanguliza shukran
 
  • Thanks
Reactions: Nus
Back
Top Bottom