Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,913
- 2,662
- Thread starter
- #61
Tujuze uzuri wao zaidi kiongozi kwa uzoefu wakoMi naona kuku wa kienyeji ndo wazuri
Tujuze uzuri wao zaidi kiongozi kwa uzoefu wakoMi naona kuku wa kienyeji ndo wazuri
Lakini pia sijaona antibiotic ( mfano astrisul , fluban ,tylodox na respacare , )vitamini na probiotic, anticoccidiosisHabari Boss,gharama ya kuku mmoja kwa mwezi inategemea kama unaanza ufugaji au unaendelea
Kwa gharama ya Kuku mmoja kama ndo mara ya kwanza unaanza ufugaji wa broiler ni around Tsh 6,800 (ukianza na kuku 300) bila kuweka gharama ya ujenzi,mishahara na madawa(kama wakiumwa)
Unaweza kufanya gharama za Makadirio ya Kuku wa aina yoyote kupitia Fuga App inapatikana bure kabsa Playstore ,itakupa gharama na vitu utavyohitaji kufuga broiler,layers au chotara kama inavyoonekana hapa
Pakua Fuga App Leo bure kabsa App Store au Playstore kupitia Fuga App — Simamia Shamba Lako la Kuku kwa Urahisi
View attachment 3661724
Sijawahi fuga kibiashara ila wanahimili sanaa maginjwa pia soko lake ni zuri kukiko wa kisasa sahizi kijijini kuku wa ten humpati nikuanzia 15,17 kuendelea mjini ndo bei imechangamka hatari tetea 20 mpk 23Tujuze uzuri wao zaidi kiongozi kwa uzoefu wako
Ndio,hatujaweka gharama za antibiotic na madawa maana kwa wengine magonjwa yanaweza yakaingia na kwa wengine yasiingie,hiyo ni gharama bila madawa,ujenzi,maji na mishaharaLakini pia sijaona antibiotic ( mfano astrisul , fluban ,tylodox na respacare , )vitamini na probiotic, anticoccidiosis
Ni kweli kabisa bei yake ni nzuri sana unaweza ongeza kama una eneo la kufugia ukaanza ufugaji wa kibiashaSijawahi fuga kibiashara ila wanahimili sanaa maginjwa pia soko lake ni zuri kukiko wa kisasa sahizi kijijini kuku wa ten humpati nikuanzia 15,17 kuendelea mjini ndo bei imechangamka hatari tetea 20 mpk 23
Kwa uzoefu kidogo nilionao kwa kuku 1000 wa mayai nilitumia ml 11 had mwezi wa sita ambapo uzalishaji ukiwa vizuri kuanzia asilimia 80 wanakuwa na uwezo wa kujilisha wenyewe , hapo ndo unaweza pata picha na hapo banda nilikuwa nalo na baadhi ya vyomboWakuu nina mpango wa kuanzisha mradi wa kuku 10000 wa mayai pamoja na nyama Dsm.Naomba mtu mwenye uzoefu wa kutosha katika ufugaji tuwasiliane anisaidie kujifunza zaidi au kama yuko interested tuangalie namna tunaweza kufanya kazi pamoja.
Kumaanisha 6M inatosha kufuga kuku 500 kufikia hatua ya Kutaga?Kwa uzoefu kidogo nilionao kwa kuku 1000 wa mayai nilitumia ml 11 had mwezi wa sita ambapo uzalishaji ukiwa vizuri kuanzia asilimia 80 wanakuwa na uwezo wa kujilisha wenyewe , hapo ndo unaweza pata picha na hapo banda nilikuwa nalo na baadhi ya vyombo
Yeah unafika kulingana na mkoa uliopo na kufanya trick ifuatayo kununua mahindi ya mwaka mzima , mashudu, hivi vingine uwa bei haibadiliki sana hapo utakuwa umewini kujua ilo ni rahisi kujua mfano kwa siku kuanzia miezi 5 kuku watakula kilo 65 hivyo utaangalia kwenye mchanganyiko wa formula mahindi ni kiasi gani multply kwa mda hadi kufikia bei zitakapokuwa chini kawaida kuanzia mwezi wa 5 hadi wa saba mahindi bei uwa chiniKumaanisha 6M inatosha kufuga kuku 500 kufikia hatua ya Kutaga?
Unyama sana Boss,Yeah unafika kulingana na mkoa uliopo na kufanya trick ifuatayo kununua mahindi ya mwaka mzima , mashudu, hivi vingine uwa bei haibadiliki sana hapo utakuwa umewini kujua ilo ni rahisi kujua mfano kwa siku kuanzia miezi 5 kuku watakula kilo 65 hivyo utaangalia kwenye mchanganyiko wa formula mahindi ni kiasi gani multply kwa mda hadi kufikia bei zitakapokuwa chini kawaida kuanzia mwezi wa 5 hadi wa saba mahindi bei uwa chini
Ukipata mzoefu ambaye anafanya kazi ya ufugaji na akakuelekeza vyema kutengeneza chakula , faida utaiona sana maana unaweza kuta ghalama inasimama kwenye shilingi 700 kwa kilo wakati cha dukani inafika 1500 hivyo unaokoa pakubwa sana pia katika ufugaji wa kuku wa mayai mapato yakiwa 100% means asilimia 65 ni cost za vyakula na mengineyo na 35 % ndo revenue kama iko tofauti wanaweza nisahihisha wadauUnyama sana Boss,
Je ni kweli kuna utofauti kwenye uzalishaji kati ya Chakula cha Kununua na kutengeneza mwenyewe kupitia Formula?
Habari samahani, Mimi ni mfugajii lakini shidaa yangu IPO Kwa hao chotara maana nmejaribu kufuga mara kaza, lakini hakuna output yoyote maana kuku wanakufaa balaa juzi nimetoka kuteketeza kuku 300 wa wiki tanoo sijajuwa shidaa ni nn?Samahani unaweza nisaidia unatumia mbinu Gani ama mfumo wako wa ulishaji na utunzaji mpaka wanatoka👏🏿🙏🏿Natanguliza shukran..Mchanganuo wa chakula ambacho hadi sasa performance yake imefanya vizuri lakini bado naendelea na trial kwa chotara kilifanya vizuri zaidi siku ya 50 tayari kuku wanakuwa wamechukuliwa wote .
Pumba kilo 300
Mashudu kilo 100
Damu kilo 25
Unga wa sangara kilo 30
Mifupa kilo 5
Chokaa kilo 20
Dcp 3 kilo
Broiler premix kilo 4
Chumvi kilo 2
Lysine 0.5 kilo
Methionine 0.5 kilo
Toxic binder 0.5
Mtama kilo 32
Kwaiyo utachanganya na wakiweke kwenye pellet na kama utakuwa unalisha kuku chotara au kienyeji utaongeza kilo 126 za grower na upande wa broiler utakuwa unatoa mchanganyiko huo wa juu asilimia 20% mfano kuku 300 wa broiler kuanzia siku ya 20 unawapa kilo 30 kwa siku ambayo ni gramu 100 kwa kuku mmoja inamaana mchanganhiko wa pale juu utakuwa kilo 6 na grower kilo 24 na mara nyingi uwa naanza zoezi ili siku ya 18 .
Turudi nyuma kidogo inapofika siku ya 13 kuku inabidi umuanzishie kidogo kidogo mfano starter 75% na grower 25% siku inayofata 50% starter na grower 50% siku inayofata tena 25% starter na 75% grower unaenda hadi siku ya 21 ndo unawapa full growers hii itasaidia kama kuna kuku walio chini ya uzito wa kilo 1.2 nao wapande haraka wawe uniform
Pole sana kiongozi , kwanza nijuze hao kuku unawatoa kampuni zip ? Mbili Unafuata mtiririko wa chanjo ? Tatu magojwa kama typhoid,coccidiosis unatibu kwa wakati ? Nn unazingatia biosecurity kama kupulizia dawa kabla ya kuweka vifaranga bandani, kuzuia wanyama kama panya bandani na kuweka dawa ya kukanyaga kabla ya kuingia eneo walipo kuku kila mara?Habari samahani, Mimi ni mfugajii lakini shidaa yangu IPO Kwa hao chotara maana nmejaribu kufuga mara kaza, lakini hakuna output yoyote maana kuku wanakufaa balaa juzi nimetoka kuteketeza kuku 300 wa wiki tanoo sijajuwa shidaa ni nn?Samahani unaweza nisaidia unatumia mbinu Gani ama mfumo wako wa ulishaji na utunzaji mpaka wanatoka👏🏿🙏🏿Natanguliza shukran..
Mm nachukua interchick, chanjo Nina wapa, maana unakuta hata mwanzoni wiki kama ya pili shida inaanzaa, yaan unakuta hata Hawa kuku ninawaogopaa kabisa na pia kuhusu magonjwaa mm ninafuatilia lakin unakuta hawaponi kabisa yaan, nakuhusu biosecurity natumia D4VERT na kingine changamoto ni kwenye swaLa la chakulaa, maana natumia gharamaa nyingi kwenye kununua chakula cha dukani natamani kuchanganya mwenyw ila formula sahihi ndo kikwazo kikubwaa, samahani kama unaformula sahihi naomba unisaidie kiongozi na pia mfumo wako wa chanjo unawapaje mkuu🙏🏿.Natumai kuanzia upyaaPole sana kiongozi , kwanza nijuze hao kuku unawatoa kampuni zip ? Mbili Unafuata mtiririko wa chanjo ? Tatu magojwa kama typhoid,coccidiosis unatibu kwa wakati ? Nn unazingatia biosecurity kama kupulizia dawa kabla ya kuweka vifaranga bandani, kuzuia wanyama kama panya bandani na kuweka dawa ya kukanyaga kabla ya kuingia eneo walipo kuku kila mara?