ViridMimi naomba kujua,
1. unatreat maji ya kuywa au unawapa tu kutoka kwenye bomba/ na kama untreat unatumia dawa gani?
Hii ni Siri hawez kukupa2. Nimevutiwa kujua pia formula yako ya chakula unayochanganya hadi kuku wanenepe kufikia 1.5kgs ndani ya siku 28 ninajua kwa watu wengi huishia 1kg
Samahani, Virid ndio nini?Virid
Hii ni Siri hawez kukupa
Virid ni dawa ya kutibu majiSamahani, Virid ndio nini?
nilitaka kupata uzoefu wake nione kama utafaa huku Shytown
Kuhusu dawa hapa wengi hawana uelewa kutokana na kulishwa rumors mfano kuna kuwakinga na magonjwa hasa wiki mbili za mwanzo baada ya hapo dawa unayoweza toa ni ya coccidiosis na vitamini angalau mara mbili kwa wiki ila cha kuzingatia hapa wiki moja kabla ya kwenda sokoni ni kuwapa maji tu ambayo hayana dawa basiMtaalamu, hvv bila madawa broilers hawafugiki?
Mtaani huku watu hawali kwa kigezo kuwa n kuku wanasemekena wanakuzwa kwa madawa....yaan kuku mwanzo mwisho ni kulishwa hayo ma OTC n.k
1. Maji ya kuku ni vyema yatulie kidogo ata siku moja mbele kwan yako na chlorine na uwa inaevaporate na kipindi ambacho utumii dawa ni vyema kama waterguard ipo unaweza kuwa unatibu vimelea hasa wa typhoid na cholera.Mimi naomba kujua,
1. unatreat maji ya kuywa au unawapa tu kutoka kwenye bomba/ na kama untreat unatumia dawa gani?
2. Nimevutiwa kujua pia formula yako ya chakula unayochanganya hadi kuku wanenepe kufikia 1.5kgs ndani ya siku 28 ninajua kwa watu wengi huishia 1kg
Ufugaji ni biashara kama nyingine na principle ni zile zile cash in & cash out na kuweka record ila kinachoongezeka ni maarifa ya ziada na calculation kuhusu utaalamu wa kuyajua magonjwa na kuyadhibiti mapemaMkuu hii ufugaji mtu anaweza kufanya kama biashara? Na ikamlipa?
Ongera bana, dah,hawa kuku wameharibu ndoto yangu mwaka huuu hatari sana. Nimerudi kuwa kapuku wakati nilishapiga hatua sana.Nimekuwa katika industry ya kilimo na ufugaji na nimejifunza mengi kwani kuna changamoto nyingi kuanzia unapoweka kuku bandani siku ya kwanza hadi unawatoa.
Kila wiki katika ufugaji inakuja na changamoto yake , umakini hasa unaitajika siku za mwanzo ukianza vibaya utaona kila rangi na unaweza kulitelekeza banda kwa uzembe , mfano kwa mkoa niliopo kuku uanza kutoka siku ya 25 kufikia siku ya 30 kama soko limekaa vizuri wanakuwa wameisha bandani na hapa ndo trick ya ulishaji wa chakula ilipo ili kufikia uzito mzuri wa kilo 1.8 hadi 2 inapogonga siku ya 28.
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa kuwa watu wanatumia bidhaa zisizo faa kunenepesha kuku hao jambo ambalo kwa upande wangu sina uhakika nalo kwani mm na uzoefu wangu nimekuwa nikitumia chakula cha makampuni na portion ya kuchanganya mwenyewe kwa formula ambazo naendelea kuziboresha kila batch na matokeo ni mazuri sana . Pchani ni kuku wa siku 28.
Karibuni wadau tushare madini hasa ya ghalama hasa inayogharimu kila kuku mpaka kumtoa ,madawa na mbinu za kuyafikia masoko
View attachment 3654566
Nakupata kiongozi , unaweza kushare pia jinsi unavyocut cost kuwa chini ya hiyo bei ya elfu 6 kwa siku 28 tunaweza kupata mwanga zaidi kwani cost kubwa hapa ni chakula hasa . Mfano cost za mkaa kwenye brooding anayefuga kuku 300 na mwingine 500 cost ni sawaNguvu kazi, mabanda, Dactar (constant) pia uziweke hata hivyo gharama ya 6K per kuku ni kubwa ujitahidi kupunguza
V-rid ni dawa ambayo unatumia kutibu maji, vyombo, kupulizia bandani na kwenye maji ya kukanyagia unapokuwa unaingia bandani ili kutowaletea kuku magonjwa walio bandani.Virid ni dawa ya kutibu maji
Ooh....sawa sawa🙏🏼🙏🏼....jibu linekaa njema sana. Matumiz ya Antibiotics ( kwa kuku bila kujali wanaumwa ama la n hatari sana.Kuhusu dawa hapa wengi hawana uelewa kutokana na kulishwa rumors mfano kuna kuwakinga na magonjwa hasa wiki mbili za mwanzo baada ya hapo dawa unayoweza toa ni ya coccidiosis na vitamini angalau mara mbili kwa wiki ila cha kuzingatia hapa wiki moja kabla ya kwenda sokoni ni kuwapa maji tu ambayo hayana dawa basi
Pole sana kiongozi unaweza share nasi hapa pengine tukapata funzo na solution ilikuwaje ukaanguka na tukajifunza zaidi. Maana ufugaji na kilimo ni sayansi inayobadilika kila kukichaOngera bana, dah,hawa kuku wameharibu ndoto yangu mwaka huuu hatari sana. Nimerudi kuwa kapuku wakati nilishapiga hatua sana.
OTC N antibiotic, na ina katazo la mayai + nyama kwa kuku aliepatiwa ndani ya siku 7--14 kutegemeana na kiasi cha OTC kwa dozi. Zipo za 20%, 50,75 na 100.... Kumalizia tu matumiz makubwa ya dawa kwa mifugo hayafai..Unajua kazi ya OTC
OTC haina ubaya wowote
Ni kweli kuna wengine wamevamia ufugaji wanadiliki kutumia hadi dawa za binadamu mm kila batch lazima niache kuku wa matumizi ya nyumbani maana mfugaji kama uwezi kula unachofuga hiyo ni dhambi kubwa sanaOoh....sawa sawa🙏🏼🙏🏼....jibu linekaa njema sana. Matumiz ya Antibiotics ( kwa kuku bila kujali wanaumwa ama la n hatari sana.
Tujikite kwenye chakula mtaalamu, tusaidie mdadavuo kwa KG. Yaan jama n pumba kg XX, mashudu kg XX n.k utakua umetusaidia sana.1. Maji ya kuku ni vyema yatulie kidogo ata siku moja mbele kwan yako na chlorine na uwa inaevaporate na kipindi ambacho utumii dawa ni vyema kama waterguard ipo unaweza kuwa unatibu vimelea hasa wa typhoid na cholera.
2 . Kuhusu chakula bado naendelea na trial lakin matokeo ni mazuri na uwa naselect kuku nawatenga naendelea kuwaangalia kwa ukaribu zaidi na mpaka sasa formula nayotumia ni kuwa na mchanganyiko wa vyakula mfano mashudu,mtama,damu ,pumba n.k ambayo natengeneza kilo 332 na kupeletize hicho chakula alafu naweka na portion ya hizi mifuko ya grower ili kubalance kiwango cha protein . Nafanya hivi kwani chakula lazima ukipime maabara na kwa bongo maabara zipo chache sana lakin in field uwezi kusubili inabidi ujiongeze kwa udadisi zaid.
Sawa basi nitatoa mdadavuo wote mda wa jioni .Tujikite kwenye chakula mtaalamu, tusaidie mdadavuo kwa KG. Yaan jama n pumba kg XX, mashudu kg XX n.k utakua umetusaidia sana.
Ok asante,V-rid ni dawa ambayo unatumia kutibu maji, vyombo, kupulizia bandani na kwenye maji ya kukanyagia unapokuwa unaingia bandani ili kutowaletea kuku magonjwa walio bandani.
Pia mm uwa natumia JIK kama nimemaliza kuwatoa kuku na ndani ya mda mfupi kama siku nne ninaingiza wengine hapa muhimu kujua JIK usiitumie kuku wakiwa bandani kwani ina makali ila ndani ya siku moja inakuwa imeshafanya kazi yake na kuacha banda likiwa salama , hapa unaweza pulizia v rid kama kukamilishia na dozi inaongezeka au kupungua kulingana na matumizi.
Usije kutuacha kwenye mataa😂Sawa basi nitatoa mdadavuo wote mda wa jioni .
Maji ya kunywa uwa ya leo mfano yanatumika kesho au keshokutwa nafanya hivi kuepusha muingiliano wa chroline na dawa ya kuku inayopelekea kupunguza ile ufanisi wa dawa au chanjo .Ok asante,
Je maji ya kunjwa unawapa tu kutoka bombani? au kuna dawa unaweka kabla ya kuwapa wanywe?