Jerry Farms
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 344
- 350
Sawa sawa🙏🏼🙏🏼Mchanganuo wa chakula ambacho hadi sasa performance yake imefanya vizuri lakini bado naendelea na trial kwa chotara kilifanya vizuri zaidi siku ya 50 tayari kuku wanakuwa wamechukuliwa wote .
Pumba kilo 300
Mashudu kilo 100
Damu kilo 25
Unga wa sangara kilo 30
Mifupa kilo 5
Chokaa kilo 20
Dcp 3 kilo
Broiler premix kilo 4
Chumvi kilo 2
Lysine 0.5 kilo
Methionine 0.5 kilo
Toxic binder 0.5
Mtama kilo 32
Kwaiyo utachanganya na wakiweke kwenye pellet na kama utakuwa unalisha kuku chotara au kienyeji utaongeza kilo 126 za grower na upande wa broiler utakuwa unatoa mchanganyiko huo wa juu asilimia 20% mfano kuku 300 wa broiler kuanzia siku ya 20 unawapa kilo 30 kwa siku ambayo ni gramu 100 kwa kuku mmoja inamaana mchanganhiko wa pale juu utakuwa kilo 6 na grower kilo 24 na mara nyingi uwa naanza zoezi ili siku ya 18 .
Turudi nyuma kidogo inapofika siku ya 13 kuku inabidi umuanzishie kidogo kidogo mfano starter 75% na grower 25% siku inayofata 50% starter na grower 50% siku inayofata tena 25% starter na 75% grower unaenda hadi siku ya 21 ndo unawapa full growers hii itasaidia kama kuna kuku walio chini ya uzito wa kilo 1.2 nao wapande haraka wawe uniform
Jaribu kusoma Pearson square method itakusaidia kwenye folmula.Mchanganuo wa chakula ambacho hadi sasa performance yake imefanya vizuri lakini bado naendelea na trial kwa chotara kilifanya vizuri zaidi siku ya 50 tayari kuku wanakuwa wamechukuliwa wote .
Pumba kilo 300
Mashudu kilo 100
Damu kilo 25
Unga wa sangara kilo 30
Mifupa kilo 5
Chokaa kilo 20
Dcp 3 kilo
Broiler premix kilo 4
Chumvi kilo 2
Lysine 0.5 kilo
Methionine 0.5 kilo
Toxic binder 0.5
Mtama kilo 32
Kwaiyo utachanganya na wakiweke kwenye pellet na kama utakuwa unalisha kuku chotara au kienyeji utaongeza kilo 126 za grower na upande wa broiler utakuwa unatoa mchanganyiko huo wa juu asilimia 20% mfano kuku 300 wa broiler kuanzia siku ya 20 unawapa kilo 30 kwa siku ambayo ni gramu 100 kwa kuku mmoja inamaana mchanganhiko wa pale juu utakuwa kilo 6 na grower kilo 24 na mara nyingi uwa naanza zoezi ili siku ya 18 .
Turudi nyuma kidogo inapofika siku ya 13 kuku inabidi umuanzishie kidogo kidogo mfano starter 75% na grower 25% siku inayofata 50% starter na grower 50% siku inayofata tena 25% starter na 75% grower unaenda hadi siku ya 21 ndo unawapa full growers hii itasaidia kama kuna kuku walio chini ya uzito wa kilo 1.2 nao wapande haraka wawe uniform
Nimeanza ufugaji wa broiler mwaka Jana katikati pale Dodoma. Kiukweli ilikuwa biashara nzuri sana kwangu yenye mafanikio mazuri sana na soko nilishalitawala vilivyo.Pole sana kiongozi unaweza share nasi hapa pengine tukapata funzo na solution ilikuwaje ukaanguka na tukajifunza zaidi. Maana ufugaji na kilimo ni sayansi inayobadilika kila kukicha
Mbeya sehemu gani nikutembelee Nile shule tena japo nami nimekuwa kwenye industry hii ingawa nimeiacha kwa mda ila bado Kila nikilala naiwaza.Niko mkoa wa mbeya
Ushamba wa watu tu na Ile rumours nyingi broiler hatumii madawa kama wanavyodai Ile ni vitamins tu kama wewe unavyopata vitamins kutoka kwenye vyakula mbalimbali.Mtaalamu, hvv bila madawa broilers hawafugiki?
Mtaani huku watu hawali kwa kigezo kuwa n kuku wanasemekena wanakuzwa kwa madawa....yaan kuku mwanzo mwisho ni kulishwa hayo ma OTC n.k
Watu wanawazushia sana broiler.Mtaalamu, hvv bila madawa broilers hawafugiki?
Mtaani huku watu hawali kwa kigezo kuwa n kuku wanasemekena wanakuzwa kwa madawa....yaan kuku mwanzo mwisho ni kulishwa hayo ma OTC n.k
Nimefanya sana hizo mambo kwenye animal nutrition ila jambo jingine ni kuwa hata hizi malighafi kila ukanda zinatofautiana upande wa crude protein, fibre content na kadhalika maana mtaani hatuna mashine za kuanalyse hivyo vitu ila mdogo mdogo tutafikaJaribu kusoma Pearson square method itakusaidia kwenye folmula.
Ila kabla hujaifanyia kazi, jifunze kila malighafi ina makisio kiasi gani ya lishe kuanzia protin,nyuzi nyuzi, carbohadrate, madini n.k
Watu wengi awapendi kujielimisha kiongozi wanakalili sanaWatu wanawazushia sana broiler.
Nilishawahi kufuga broiler kwa kuwalisha chakula cha dukani week 2 za kwanza baada ya hapo nikawatoa nje wakawa wanazunguka tu na kula pumba, na wakawa wakubwa na wazito sana.
Bongo wafugaji +wakulima n fusra za wafanya biashara.......hayo ma booster mengi n fake.Pia kuna scam sana hasa kwenye hizi vitu zinaitwa booster na zimekuwa trash sana hapa wafugaji umakini unaitajika
Habari Boss,gharama ya kuku mmoja kwa mwezi inategemea kama unaanza ufugaji au unaendeleakuku mmoja anatumia gharama kiasi gani kwa 4 weeks?
Asante kwa mchanganuo lakini kulingana na vipindi baadhi ya gharama upanda na kushuka mfano kuna wakati kwa idadi hiyo ya kuku unatumia 1.7 au 1.8 hasa msimu wa baridi na msimu wa joto mambo uwa tofautiHabari Boss,gharama ya kuku mmoja kwa mwezi inategemea kama unaanza ufugaji au unaendelea
Kwa gharama ya Kuku mmoja kama ndo mara ya kwanza unaanza ufugaji wa broiler ni around Tsh 6,800 (ukianza na kuku 300) bila kuweka gharama ya ujenzi,mishahara na madawa(kama wakiumwa)
Unaweza kufanya gharama za Makadirio ya Kuku wa aina yoyote kupitia Fuga App inapatikana bure kabsa Playstore ,itakupa gharama na vitu utavyohitaji kufuga broiler,layers au chotara kama inavyoonekana hapa
Pakua Fuga App Leo bure kabsa App Store au Playstore kupitia Fuga App — Simamia Shamba Lako la Kuku kwa Urahisi
View attachment 3661724
Mambo ya msingi kwanza zingatia usafi hasa kupulizia dawa kama v- rid , virukill au jik na uache banda kwa siku tano kabla ya kuweka vifaranga,Habari nahitaji kujifunza na Nina mpango mwakani nianze ufugaji huu wa broiler kuku mia mbili chakula ni hiki cha backbone
Ntatambua vipi kuku ana kideri, na mgonjwa related vipi kuhusu chanjo zake,
Kuku mia mbili watakula ama kutumia kiasi gani cha chakula kwa wanaotumia chakula Cha backbone