Inategemea familia yako, kama pangu pakavu at least 40+, tengeneza maisha kwanza, lakini kama kwenu wako vizuri at least 30+ wa kiume maana una support nyuma yako, wa kike at least 25+Wewe unamjua mtoto mkubwa wa P funk unamjua mtoto wa lowasa, unamjua mtoto wa amani karume yule shangazi, unamjua mtoto Gardner, unamjua mtoto mkubwa wa ruge, unamjua mtoto mkubwa wa dudu baya wewe kuza before 26 kuna raha yake😬lakini sishauri
Hongera rafiki yangu.Kumi na nane.
Yeah wewe je?Hongera rafiki yangu.
🏃😂Yeah wewe je?
Sema tu bhana nipo na wewe hapa tu😊
unajua ni wakati gani Mungu atakufungulia milango ya pesa?Faida ya kuzaa mapema ni kuhangaikia watoto ukiwa bado na nguvu na pesa. Umri ukienda ni vigumu kutafuta pesa na wakati huo watoto wanahitaji karo na mahitaji mengine.
Duh Mimi nipo form three nikapata katoto kipindi nimeanza kutafuna videmUnakuta kijana wa miaka 25 ameanza kuitwa baba, hapo ujana ataufurahia kweli zaidi ya kujibebesha majukumu mazito?
Umri ni namba tu mtani, utayari ndio kila kitu bwashe!🤣Umesema kunahitaji utayari zaidi ya umri meku mpare😁
Kabisa bwashee 😁Umri ni namba tu mtani, utayari ndio kila kitu bwashe!🤣
Hahahaaa.kuna kaka yangu watoto wake ni wajukuu zake kiumri..
yaani Hakuna kuzaa bila ndoa hata nifike miaka 40[emoji41]
Kuzaa mapema wala sio shida , kikubwa uwe umejipanga namna ya kuhudumia hao watoto basi...izo raha za dunia sio lazima ziwe anasa tu, ata watoto wana raha yake, kuchelewa kuzaa nikujibebesha majukumu muda wa kupumzika, mfano unapata mtoto wakwanza una miaka 40 inamaana mpaka uyo mtoto anafika mda wa kawaida wa kujiajiri au kujiajiriwa wewe ushamaliza muda wa utumishi mahala ulipo ajiriwa, yani umeshafikisha 60+ unaishi kwa pension kama hukuwa na shughuli nyingine sasa wafikirie hao wanaofata baada ya huyo wakwanza uliomzaa na 40+ utajikuta muda wa kupunguza majukumu na kula matunda ya wanao wewe bado unahaangaika na ada za shule na majukumu mengine. Kama sio sababu za kiafya zaa mapema watoto wanakuja na ridhiki zao na unaweza ukaenjoy anasa zako wakiwepo na kuwakuza wote ukiwapa mahitaji yao muhimu na kikubwa zaidi utashuhudia na wajukuu zako ukijaliwa umri mrefu.Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
Umri wa kupata pesa unajulikana,ni wakati unapokuwa kijana bado una nguvu, muda ukienda inabaki kubahatisha.un
unajua ni wakati gani Mungu atakufungulia milango ya pesa?
Neno kipato kwenye comment yangu umeliona ndugu yangu, au umetishwa kuzaa kwa fujo. Nimezingatia kipato, na kuzaa pia. Aliye na kipato na amewasomesha wote, na kumiliki mali ya kutosha, unampangiaje kuzaa. Umaskini wako isiwe zuio kwa wenye mali na lundo la watoto. Maskini asizae na tajiri azae. Uzazi wa mpango, vita, magonjwa ya kutengenezwa ni mkakati wa kupunguza idadi ya watu duniani na Africa hasa.Uzae kwa fujo kwa masirahi ya nani??? Unanufaika nini?? Zaa watu ambao unaweza kumudu mahitaji yao na kuwamonitor makuzi yao, malezi yao, afya yao, elimu, talent n.k. Africa tunafanya mambo ya Msingi kimasihara sana