Kuzaa mtoto ili akikua akusaidie ni moja ya kichocheo cha umasikini wa mtu mweusi

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake.

Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho.

Muandalie mifumo, urithi wa kutosha ikiwezekana hadi wa wajukuu wako ( watoto wake).

Hivi ndivyo vitabu vitakatifu vinafundisha.
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; mithali 13:22

Kuzaa ili uje usaidiwe ni mikakati ya makusudi ya kuchelewesha maendeleo binafsi na ya kufamilia.

Huu ndio utaratibu.
Uzizae kwa kwa mpango tu, zaa kwa mikakati

ni hayo tu

Mtumishi Matunduizi
 
Nakubaliana na wewe, na kama mzazi naongezea kwamba kuzaa watoto ili kukidhi mahitaji yako ni ubinafsi.

Tengeneza maisha yako usiwe mzigo kwa watoto wako, ukizeeka watakusaidia kama jukumu lao ila siyo maisha yao yote kuwabebesha responsibilities za kijinga.
 
Wazazi wanatumia ujana na nguvu zao zote kulea na kuwapa watoto wao nyenzo zote muhimu...kisha watoto waendelee kuwa kupe maisha yao yote?
 
Mkuu wazazi wetu ni jukumu letu, msituletee umagharibi, mi hata ningeishi ulaya nisingekubali mzazi alelewe kwenye nyumba za wazee eti mwanae nimeshindwa.
Tajiri na mali zake maskini na watoto wake, ila nasisitiza wazazi kuandaa mazingira mazuri kwa watoto wao.
Mtu mwema huacha urithi kwa watoto wa watoto wake.
Mahusiano ya mzazi na mtoto hayakomi hadi anapotoka dunaini. Suala la mtoto kumuheshimu na kujihusisha na mzazi wake kiuchumi kijamii au kiroho ni agizo la Mungu.

Ila kama mzazi ni kutambua unajukumu la kuhakikisha mtoto uliyemleta dunia ni anapata huduma zote muhimu ikiwez3kana hadi watoto wake.

Hii haiwahusu wazazi ambao hawajulijua hili. Ila kama unajua na umepanga kupata mtoto. Usiseme nazaa mtoto ili aje anisaidie. Sema nazaa mtoto ili nije nimsaidie ikiwezakana hadi watoto wake niwasadie.
 
Wazazi wanatumia ujana na nguvu zao zote kulea na kuwapa watoto wao nyenzo zote muhimu...kisha watoto waendelee kuwa kupe maisha yao yote?
Watoto wanasaidiwa kujisimamia ila wakianguka mzazi bado anajukumu la kumuinua hata kama mtoto ni 40+.

Hivi ndio vitabu vitakatifu vinasisitiza.
Ni jukumu la mzazi hasa wa kisasa mwenye maarifa haya kuweka mifumo itakayoweza kusimamisha kizazi chake na cha watoto wake. Hii ndio vision njema hata kama usipofaulu lakini iwe ndio kipimo cha mafanikio ya familia.
 
Kutunza na kusaidia wazazi ni jukumu la mtoto pia pale anapokuwa amebahatika kuwa na maisha mazuri
Mzazi pia hapaswi kufanya mambo kwa kutegea akivizia anaowazaa ndio wawe msaada. Bado ananafasi ya kukomaa ili hata watoto wasipofanikiwa yeye aweze kuwa msaada.

Chanzo cha wazazi hasa vijijini kuzaa watoto wengi ni ili ikiwezekana atokee mmoja aje amsaidie yeye na wenzake. Hii ndio inapelekea hata kama mzazi alikuwa na fursa ya kufuga ng'ombe 100 atafuga 4 akitegemea hao 96 wataletwa na watoto wake wakati yeye angeweza.

Ibrahim alimsaidia Isaka hadi alipokuwa na Miaka 40+ akiwa bado anajitafuta.
 
Watu wengi haswa hapa kwetu hawajuagi hata kwanini wanazaa watoto.

Wengi wanazaa sababu wanaona wengine wamezaa.

Na wengi wanaamini kuzaa mtoto ni kuthibitishia jamii kwamba wana uwezo wa uzazi na hilo ni moja ya mafanikio makubwa sana kwenye maisha yao.

Wachache sana wanakuwa na mtazamo wa kwanini nataka ndoa, kwanini nataka watoto, na nataka watoto wangu wawe kina nani hapa duniani.

Mwenyezi Mungu atusaidie sana
 
Mzazi hatakiwi tegemea chochote kutoka kwa mtoto, maana hakutaka zaliwa. Ni jukumu la Mzazi kuangalia maisha yake
Unapooa ni lazima uweke mikakati ya makusudi ya kuyasimamia maisha yako na mke wako hadi uzeeni. Usikasimishe majukumu kwa mtoto.

Watoto ni wageni na wapitaji. Wakupita mtabaki wewe na mkeo. Wanaweza wakakua wote alafu wakawa wajingawajinga na wakakusahau. Hatuna uhalali wa kuwalalamikia ingawa watawajibika kwa Mungu
 
Zaa mtoto ukiwa mentality ya kumsadia hadi uzeeni.
Miye falsafa yangu ni moja tu

Kwenye ndoa yangu iliyovunjka mwaka jana nilipata watoto wanne

Nishawaambia watoto wangu kuwa kila mtoto nitamjengea nyumba moja

Sharti langu hakuna kuuza nyumba hizo niwe hai au mfu

Wao wasome masome masomo ya sayansi na biashara tu

Wakimaliza la saba, wote naenda kuwafungia Roman Catholic schools

Wakimaliza form four, wanaenda vyuo vya ufundi au fani zenye hands on skills

Wakimaliza masomo,watakuta nishawaandalia mtaji

Waajirie wasiajirie, mimi nishawaanzishia maisha yenye positive handcap

Kwa sasa nina nyumba mbili

Bado tatu nifunge hesabu
 
Tofauti yako na wazazi wanaotegemea watoto wao ni ndo sana. Kulazimisha watoto wote wasome sayansi na biashara huku ukitaka waende vyuo vya ufundi tayari ni kukwepa majukumu yako. Kwani uliandikiwa barua uwazae?
 
Miye falsafa yangu ni moja tu

Kwenye ndoa yangu iliyovunjka mwaka jana nilipata watoto wanne

Nishawaambia watoto wangu kuwa kila mtoto nitamjengea nyumba moja

Sharti langu hakuna kuuza nyumba hizo niwe hai au mfu

Wao wasome masome masomo ya sayansi na biashara tu

Wakimaliza la saba, wote naenda kuwafungia Roman Catholic schools

Wakimaliza form four, wanaenda vyuo vya ufundi au fani zenye hands on skills

Wakimaliza masomo,watakuta nishawaandalia mtaji

Waajirie wasiajirie, mimi nishawaanzishia maisha yenye positive handcap

Kwa sasa nina nyumba mbili

Bado tatu nifunge hesabu
Hii imekaa vizuri sana.
 
Mkuu wazazi wetu ni jukumu letu, msituletee umagharibi, mi hata ningeishi ulaya nisingekubali mzazi alelewe kwenye nyumba za wazee eti mwanae nimeshindwa.
Tajiri na mali zake maskini na watoto wake, ila nasisitiza wazazi kuandaa mazingira mazuri kwa watoto wao.
Sahihi! Kwetu Africa tunalea wazee wetu majumbani kwetu, Ulaya wanapeleleka katika makazi ya kuwatunza wazee....
 
Miye falsafa yangu ni moja tu

Kwenye ndoa yangu iliyovunjka mwaka jana nilipata watoto wanne

Nishawaambia watoto wangu kuwa kila mtoto nitamjengea nyumba moja

Sharti langu hakuna kuuza nyumba hizo niwe hai au mfu

Wao wasome masome masomo ya sayansi na biashara tu

Wakimaliza la saba, wote naenda kuwafungia Roman Catholic schools

Wakimaliza form four, wanaenda vyuo vya ufundi au fani zenye hands on skills

Wakimaliza masomo,watakuta nishawaandalia mtaji

Waajirie wasiajirie, mimi nishawaanzishia maisha yenye positive handcap

Kwa sasa nina nyumba mbili

Bado tatu nifunge hesabu
Hongera mkuuu

Mawazo mazuri, nasubiri nimuoe binti yako Kama yupo, nije niishi nae kwenye nyumba ya Baba mkwe
 
Back
Top Bottom