Kuzaa mtoto ili akikua akusaidie ni moja ya kichocheo cha umasikini wa mtu mweusi

Tofauti yako na wazazi wanaotegemea watoto wao ni ndo sana. Kulazimisha watoto wote wasome sayansi na biashara huku ukitaka waende vyuo vya ufundi tayari ni kukwepa majukumu yako. Kwani uliandikiwa barua uwazae?
Sikiliza wewe

Ajira hamna siku hizi

la kazi zipo

Basically nataka wasome masome yenye ufundi ndsni yake ili akija mtaani yeye kupata hela lisiwe jambo la kakaza matako

Kama ataamu awe mwanasiasa au mchungaji hayo ni yake

Ila mimi msingi wa kumwezesha kuyaweza maisha yake nitakuwa nishamaliza

Maisha ni mipango

We huoni wahindi, waarabu na wasukuma wanavyolazimisha mtoto aoelee nyumbani na akae na watoto wake hapo!?

Yote ni kuhakikisha mtoto hata kama ameoa, anapata mwanzo mpya wa maisha

By the way hii ni falsafa yangu
 
Karibu tuje tukufuge mkuu

Kikubwa uje na akili zenye kuanzia 265gb

Nina mabinti mapacha, na upstairs wapo vizuri

Jipange vizuri
Sawa mkuuu,

Nimekupa hoja fikirish saana, watoto Wana haki Sawa yakurithi, ila kwenye kumrithisha wakike vitu Kama nyumba alafu akienda kwenye ukoo mwingine sijui inakuwaje

Nadhani umakini unahitajika
 
Maandishi yanasovu yote hayo yote

Kuna prenup agreements

Ni ishu ya kukaa na mwanasheria chini na kuandika kuwa mali zote alizonazo mtu kabla ya ndoa hazitahesabiwa kuwa ni sehemu ya mali ya ndoa

Hata mkivunja ndoa hazitahusika kwenye mgawanyo wa mali
 
Kutunza na kusaidia wazazi ni jukumu la mtoto pia pale anapokuwa amebahatika kuwa na maisha mazuri
Nimeona wazazi wanawalaani watoto kwa sababu hawjabahatika kuwa na maisha mazuri.
Mzazi ni mzazi hadi mwisho. Bado anajukumu la kuweka mfumo imara ambao asaidiwe au asisaidiwe maisha hayakomi. Kama ulivyisema vipi kama watoto wote wakiishia kuwa na maisha mabovu. Mazazi aishi maisha mabovu kwa sababu ya watoto wameshindwa kumsaidia au kwa sababu ya yeye mifumo yake ya imefeli kumsimamia.

Kunq faida kubwa zaidi mzazi akiishi kwa mtazamo wa kuendelea kujisimqmia bilq kujali kama atasaidiwa au hatasaidiwa na watoto. Hii itampa nafasi kubwa ya kuwa msaada hata kwa wajukuu wa watoto waliofeli
 
Sawa mkuuu,

Nimekupa hoja fikirish saana, watoto Wana haki Sawa yakurithi, ila kwenye kumrithisha wakike vitu Kama nyumba alafu akienda kwenye ukoo mwingine sijui inakuwaje

Nadhani umakini unahitajika
Sio tu kumrithisha, hata mzazi wa mtoto wa kike anaweza kumpa mtaji mme wa mtoto wake ikiwa ataona anauwezo mkubwa wakiakili.

Mqfanikio ya mzazi ni kuona mtoto amesimama sio kuona anaishi kwa kutegemea hao watoto maana wasipofanikiwa yeye atakuwa amerisk maisha yake.
 
Maandishi yanasovu yote hayo yote

Kuna prenup agreements

Ni ishu ya kukaa na mwanasheria chini na kuandika kuwa mali zote alizonazo mtu kabla ya ndoa hazitahesabiwa kuwa ni sehemu ya mali ya ndoa

Hata mkivunja ndoa hazitahusika kwenye mgawanyo wa mali
Paka awe determined kwenye Hilo mkuuu.
 
Nimeona wazazi wanawalaani watoto kwa sababu hawjabahatika kuwa na maisha mazuri.
Mzazi ni mzazi hadi mwisho. Bado anajukumu la kuweka mfumo imara ambao asaidiwe au asisaidiwe maisha hayakomi. Kama ulivyisema vipi kama watoto wote wakiishia kuwa na maisha mabovu. Mazazi aishi maisha mabovu kwa sababu ya watoto wameshindwa kumsaidia au kwa sababu ya yeye mifumo yake ya imefeli kumsimamia.

Kunq faida kubwa zaidi mzazi akiishi kwa mtazamo wa kuendelea kujisimqmia bilq kujali kama atasaidiwa au hatasaidiwa na watoto. Hii itampa nafasi kubwa ya kuwa msaada hata kwa wajukuu wa watoto waliofeli
Mzazi anampomlaani mtoto huku akijua wazi kabisa hana maisha mazuri hiyo ni mbaya Kwa kweli
 
Sikiliza wewe

Ajira hamna siku hizi

la kazi zipo

Basically nataka wasome masome yenye ufundi ndsni yake ili akija mtaani yeye kupata hela lisiwe jambo la kakaza matako

Kama ataamu awe mwanasiasa au mchungaji hayo ni yake

Ila mimi msingi wa kumwezesha kuyaweza maisha yake nitakuwa nishamaliza

Maisha ni mipango

We huoni wahindi, waarabu na wasukuma wanavyolazimisha mtoto aoelee nyumbani na akae na watoto wake hapo!?

Yote ni kuhakikisha mtoto hata kama ameoa, anapata mwanzo mpya wa maisha

By the way hii ni falsafa yangu
Ni falsafa ya kipumbavu
 
Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake.

Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho.

Muandalie mifumo, urithi wa kutosha ikiwezekana hadi wa wajukuu wako ( watoto wake).

Hivi ndivyo vitabu vitakatifu vinafundisha.
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; mithali 13:22

Kuzaa ili uje usaidiwe ni mikakati ya makusudi ya kuchelewesha maendeleo binafsi na ya kufamilia.

Huu ndio utaratibu.
Uzizae kwa kwa mpango tu, zaa kwa mikakati

ni hayo tu

Mtumishi Matunduizi
Huna akili!
 
Watu weusi Hali zetu ni duni wazaz hawajatuandalia maisha ya baadaye kile wanachokipata wanatumia hapohapo na wanapotupeleka shule Ili uje uwainue na wao usiangalie wazungu wao wanapoanza kupata watoto tayar wameshawajengea maisha ya baadaye wanazaliwa tayar uhakika wa maisha upo acha hayo mambo isilete huku waachie wazungu hukoo
 
Hiyo ni kweli, sasa kwa wazazi wa kiafrika wa kileo lazima wawe na mtazamo huu tofauti.
 
Back
Top Bottom