matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Zaa mtoto ukiwa mentality ya kumsadia hadi uzeeni.Kwahiyo ushauri wako ni nini?
Nakubaliana na wewe, na kama mzazi naongezea kwamba kuzaa watoto ili kukidhi mahitaji yako ni ubinafsi.Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake.
Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho.
Muandalie mifumo, urithi wa kutosha ikiwezekana hadi wa wajukuu wako ( watoto wake).
Hivi ndivyo vitabu vitakatifu vinafundisha.
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; mithali 13:22
Kuzaa ili uje usaidiwe ni mikakati ya makusudi ya kuchelewesha maendeleo binafsi na ya kufamilia.
Huu ndio utaratibu.
Uzizae kwa kwa mpango tu, zaa kwa mikakati
ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Mtu mwema huacha urithi kwa watoto wa watoto wake.Mkuu wazazi wetu ni jukumu letu, msituletee umagharibi, mi hata ningeishi ulaya nisingekubali mzazi alelewe kwenye nyumba za wazee eti mwanae nimeshindwa.
Tajiri na mali zake maskini na watoto wake, ila nasisitiza wazazi kuandaa mazingira mazuri kwa watoto wao.
Watoto wanasaidiwa kujisimamia ila wakianguka mzazi bado anajukumu la kumuinua hata kama mtoto ni 40+.Wazazi wanatumia ujana na nguvu zao zote kulea na kuwapa watoto wao nyenzo zote muhimu...kisha watoto waendelee kuwa kupe maisha yao yote?
Mzazi pia hapaswi kufanya mambo kwa kutegea akivizia anaowazaa ndio wawe msaada. Bado ananafasi ya kukomaa ili hata watoto wasipofanikiwa yeye aweze kuwa msaada.Kutunza na kusaidia wazazi ni jukumu la mtoto pia pale anapokuwa amebahatika kuwa na maisha mazuri
Unapooa ni lazima uweke mikakati ya makusudi ya kuyasimamia maisha yako na mke wako hadi uzeeni. Usikasimishe majukumu kwa mtoto.Mzazi hatakiwi tegemea chochote kutoka kwa mtoto, maana hakutaka zaliwa. Ni jukumu la Mzazi kuangalia maisha yake
Miye falsafa yangu ni moja tuZaa mtoto ukiwa mentality ya kumsadia hadi uzeeni.
Sio jukumu laoKutunza na kusaidia wazazi ni jukumu la mtoto pia pale anapokuwa amebahatika kuwa na maisha mazuri
Tofauti yako na wazazi wanaotegemea watoto wao ni ndo sana. Kulazimisha watoto wote wasome sayansi na biashara huku ukitaka waende vyuo vya ufundi tayari ni kukwepa majukumu yako. Kwani uliandikiwa barua uwazae?Miye falsafa yangu ni moja tu
Kwenye ndoa yangu iliyovunjka mwaka jana nilipata watoto wanne
Nishawaambia watoto wangu kuwa kila mtoto nitamjengea nyumba moja
Sharti langu hakuna kuuza nyumba hizo niwe hai au mfu
Wao wasome masome masomo ya sayansi na biashara tu
Wakimaliza la saba, wote naenda kuwafungia Roman Catholic schools
Wakimaliza form four, wanaenda vyuo vya ufundi au fani zenye hands on skills
Wakimaliza masomo,watakuta nishawaandalia mtaji
Waajirie wasiajirie, mimi nishawaanzishia maisha yenye positive handcap
Kwa sasa nina nyumba mbili
Bado tatu nifunge hesabu
Hii imekaa vizuri sana.Miye falsafa yangu ni moja tu

Sahihi! Kwetu Africa tunalea wazee wetu majumbani kwetu, Ulaya wanapeleleka katika makazi ya kuwatunza wazee....Mkuu wazazi wetu ni jukumu letu, msituletee umagharibi, mi hata ningeishi ulaya nisingekubali mzazi alelewe kwenye nyumba za wazee eti mwanae nimeshindwa.
Tajiri na mali zake maskini na watoto wake, ila nasisitiza wazazi kuandaa mazingira mazuri kwa watoto wao.
Hongera mkuuuMiye falsafa yangu ni moja tu