Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Ila binadamu anaeumbwa na mbunye anapata shida sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23], daaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni suala la mda tu[emoji16]
Mkuu kuna watu wameachana na wanakutana lkn hawapeani,yani wanakutania barabarani,kama may b baba anataka kuwaona watoto anawachukua anaenda nao,kuwarudisha pia hivyo hivyo,haya mambo ni msimamo tu.
 
Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.
Umesema kwamba ?
akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea
Alafu ukasema kwamba ?
Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika
Kwa hio sasa ndio kusema kwamba ?
Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.
Sijamsikia umesema kwamba ?
Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae
Kwani wanaposema muonyeshe kaburi la baba wa watoto wao ni wajinga? Kwa hio unasema kwamba ?
Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha.
Na hilo ndio jibu lake
 



Sex imekusudiwa kuwa kwaajili ya kuzaa na sio vinginevyo.
Sasa watu wame-abuse matumizi.
 
Kama kwel unasimamia unachokiamaini sawa jambo la heri : sema changamoto kwenu msimamo unakuwaga ni wakipindi cha mda mrefu baada yahapo mnarudi kwenye form : kama unaweza anzaisha mahusiano mengine na mtu ambaye atakuelewa wewe na watoto wako itakusaidia ila kama utabaki hvyoo ipo siku utampa tuu huyo mwamba kama mtaendelea kuwasiliana ipo siku utaachia tuuu
 
kuoa single maza ni sawa na kuoa mke wa mtu
Muda wowote mwenyewe anamchukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…