Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Same to me...aliyeshindwa tambua thamani yangu anaponirudia eti tusex....naweza Kuua...kwanza hawez thubutu maana hata nafasi ya kuwasiliana Nami simpi.Watoto wanakua tu pasipo wao.... wenyewe kina nani kwani afu ukizingatia sikuhiz nao ni sisi tu full kupakatwa☺️
 
Ni vile hajaamua tu, akilipa ada na vizawadi kidogo anaupiga mwingi. Waga mnaeleweka basi!
unataka kusema siwez pata kwengine hvyo ni kwake tu. akitoa ada ni jukumu lake sio msaada kwangu bro.
 
Tatizo ni yeye, makubaliano ni kusaidiana kulea watoto, kwenye mali hapo usinitie uchungu. Tuliachana mdogo ana mwaka mmoja mkubwa mi3
Mali za mwanaume unazitakia nini ?? Pambana upate zako wanawake acheni tamaa kwa mali za wanaume zenu. Mtu kumpikia na kumpa mbususu nd unasema mmetafta wote. Acheni tamaa tafteni za kwenu
 
We ni mwanamke mpumbavu sasa usiinhie kwenye mahusiano kama hutaki mapenzi ni bora uwe msagaji
Huyo mwanaume yuko sahii
Elezea sababu za upumbavu wangu mkuu may be unaweza nielimisha na mm nikuelemishe. Pia Punguza jazba unapomjibu mtu usiyemfahamu
 
Nimeandika nikafuta....nimeandika nikafutaa....
Ngoja nibakie kusoma comment za wadau..
 
Mali za mwanaume unazitakia nini ?? Pambana upate zako wanawake acheni tamaa kwa mali za wanaume zenu. Mtu kumpikia na kumpa mbususu nd unasema mmetafta wote. Acheni tamaa tafteni za kwenu
nimesema sitak kuiongelea, ss mbona umejipa majibu tayari, wabongo jaman aisee
 
Utaliwa tu ni suala la muda tu.

Mwamba amekuja kwenye wrong time kuna mtu anakupa kiburi lkn some times later when ur desparate and u need comfort mwamba atapiga na ukifanya masihara na mimba nyingine utabeba.
 
Kama vile umeniongelea mimi hawa wanaume washenzi sana tuendelee kupambana kwaajili ya watoto
 
Hii presentation tu inatosha kuonyesha unajielewa na kujitambua. Kila mtu akale alikoacha mboga.
 
Utaliwa tu ni suala la muda tu.

Mwamba amekuja kwenye wrong time kuna mtu anakupa kiburi lkn some times later when ur desparate and u need comfort mwamba atapiga na ukifanya masihara na mimba nyingine utabeba.
Anayenipa kiburi ni Mungu pekee Mkuu. Usiongee as if wanaume wameisha hii dunia hawawezi nipa mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…