Unaendelea tu kutoa huduma. Si ni watoto wako? Pale hufanyi hisani unatimiza majukumu yakoUnajitahid kutoa huduma zote kwa mtoto na kuwa karibu nae kumbe anakuchukuria Kama unajipendekeza kwake.
Heeee[emoji3]Tatizo lilikuwa kwa nani?
Makubaliano baada ya kuachana yalikuwa ni yapi?
Mliachana kwa taraka ngapi?
Kuna mali zozote mligawana baada ya kuachana au zote alikuachia wewe?
Mliachana kipindi hicho watoto walikuwa na umri gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mara moja-moja sio mbaya bana hamna mtu atajua hata.
Unaendelea tu kutoa huduma. Si ni watoto wako? Pale hufanyi hisani unatimiza majukumu yako
Kichaa chake usikipatilize
Hamna anayekataa kutoa watoto tatizo wababa wenyewe hawataki. halaf kulipa ada sio nyumba mana hata ukiwa nao wewe ada ni ile ileWatoto wakalelewe kwa baba yao.
Bajeti ya mgao Nyumba mbili hakuna.
Ukiamua kubaki nao basi kubali kulea mwenyewe bila kulaumu mtu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Elezea sababu za upumbavu wangu mkuu may be unaweza nielimisha na mm nikuelemishe. Pia Punguza jazba unapomjibu mtu usiyemfahamu
Aloo, nini kimekupelekea kufikia kuwaza hivi mkuuSingle mother hawana shukran
Samahani mtoa mada
Ni kweli sikujui ila Nimekujibu kutokana na uzi wakoElezea sababu za upumbavu wangu mkuu may be unaweza nielimisha na mm nikuelemishe. Pia Punguza jazba unapomjibu mtu usiyemfahamu
Hujaniambia upumbavu wangu yetNi kweli sikujui ila Nimekujibu kutokana na uzi wako
Ww sio wa kwanza kuwa na msimamo wa aina hiyo na mwisho wa siku waliachia.Anayenipa kiburi ni Mungu pekee Mkuu. Usiongee as if wanaume wameisha hii dunia hawawezi nipa mimba
It seems unafananisha watu, hujawahi kukutana na wanawake wenye misimamo na maamuzi. natamani ungeona nlivyokua before na after ndo uje useme hayaWw sio wa kwanza kuwa na msimamo wa aina hiyo na mwisho wa siku waliachia.
Mwamba akifanya re-organization ya mpango kazi na kurudisha huduma kwa watoto, walahi utaliwa tu we binti labda uwe umechoka sn na uwe embled kiasi kwamba mwamba aone haitaji Tena kupiga hiyo mbususu yako.
Migogoro ndio kama hii. Jamaa akikaza kidogo new gal lazima atoe, naona anaelekea.aka shamba lenye mgogoro
Hamna anayekataa kutoa watoto tatizo wababa wenyewe hawataki. halaf kulipa ada sio nyumba mana hata ukiwa nao wewe ada ni ile ile
hawana akili basi, yan m nmkatalie mtu mwanae kisa nnWenzio huwa wanakataa !
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ukisubiri mkuu siku akikipeleka mwenyewe sioFormula yako inaweza kufanya kazi kama hamkutani (hamuonani). Otherwise nimekaa pale.
Sema wanawake wanabeba mimba hovyo hovyo, mwanamke akiamua kutozaa nawewe hata ufanye nini hauwezi kumpa mimba, ila yeye akiamua kuzaa utakwepa sana ila lazima unase tu!Hivi Kwanini Sheria za kuhudumia watoto bongo ziko nyuma sana.
Au hazifuatwi.?
Wanaharakati wa kijinsia mko wapi?
Ndio maana watu wawapa mimba watoto wa watu ovyoovyo, wakijua wanaweza kwepa "Child Support".