Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Unajitahid kutoa huduma zote kwa mtoto na kuwa karibu nae kumbe anakuchukuria Kama unajipendekeza kwake.
Unaendelea tu kutoa huduma. Si ni watoto wako? Pale hufanyi hisani unatimiza majukumu yako
Kichaa chake usikipatilize
 
Tatizo lilikuwa kwa nani?

Makubaliano baada ya kuachana yalikuwa ni yapi?

Mliachana kwa taraka ngapi?

Kuna mali zozote mligawana baada ya kuachana au zote alikuachia wewe?

Mliachana kipindi hicho watoto walikuwa na umri gani?
Heeee[emoji3]
 
Unaendelea tu kutoa huduma. Si ni watoto wako? Pale hufanyi hisani unatimiza majukumu yako
Kichaa chake usikipatilize

Watoto wakalelewe kwa baba yao.

Bajeti ya mgao Nyumba mbili hakuna.

Ukiamua kubaki nao basi kubali kulea mwenyewe bila kulaumu mtu.
 
Watoto wakalelewe kwa baba yao.

Bajeti ya mgao Nyumba mbili hakuna.

Ukiamua kubaki nao basi kubali kulea mwenyewe bila kulaumu mtu.
Hamna anayekataa kutoa watoto tatizo wababa wenyewe hawataki. halaf kulipa ada sio nyumba mana hata ukiwa nao wewe ada ni ile ile
 
Anayenipa kiburi ni Mungu pekee Mkuu. Usiongee as if wanaume wameisha hii dunia hawawezi nipa mimba
Ww sio wa kwanza kuwa na msimamo wa aina hiyo na mwisho wa siku waliachia.

Mwamba akifanya re-organization ya mpango kazi na kurudisha huduma kwa watoto, walahi utaliwa tu we binti labda uwe umechoka sn na uwe embled kiasi kwamba mwamba aone haitaji Tena kupiga hiyo mbususu yako.
 
It seems unafananisha watu, hujawahi kukutana na wanawake wenye misimamo na maamuzi. natamani ungeona nlivyokua before na after ndo uje useme haya
 
Maisha yana changamoto nyingi; itokeapo mtu anakuwa na mahusiano mengi, kwa mazingira ya kawaida gharama pia uongezeka, na kupelekea mtu kuwa wa kutoa ahadi tu kuliko kutekeleza.
Nachoweza kushauri; jaribu kumsahahu huyo uliyezaa naye na pambana na maisha yako, ingawa watoto wakikua bado watamuitaji baba yao.
Kuhusu kukumbushia, hii inategemea na wewe una mahusiano gani kwa sasa; kama uko kwenye mahusiano hakuna shida, ila kama hauna ni vizuri pia kukumbushia kwa ajili ya afya ya mwili na akili, huku mkijadili maendeleo ya watoto wenu.
 
Hivi Kwanini Sheria za kuhudumia watoto bongo ziko nyuma sana.
Au hazifuatwi.?
Wanaharakati wa kijinsia mko wapi?
Ndio maana watu wawapa mimba watoto wa watu ovyoovyo, wakijua wanaweza kwepa "Child Support".
Sema wanawake wanabeba mimba hovyo hovyo, mwanamke akiamua kutozaa nawewe hata ufanye nini hauwezi kumpa mimba, ila yeye akiamua kuzaa utakwepa sana ila lazima unase tu!

Mimba isiyo na makubaliano, lawama zote anabeba mwanamke, hakuna excuse hapo!
 
Back
Top Bottom