Kuzaliwa mwanaume ni hatia

Kuna bidada tulikuwa tunasota naye mpk December mwaka Jana, lkn mwezi march mwaka huu akampata don amemjengea bonge la mjengo na kamanunuliw gari kali ya kutembelea. Mwanamke......shikamoo.
Ndio maana nasema mwanamke sio mwenzako, anaweza kulala na kuamka tajiri, lakini mwanaume kwako kufanikiwa ni mchakato mrefu.

Kitu ambacho mwanaume utapambania kukitafuta kwa miaka hata mitano mwanamke anaweza kukipata mdani ya dakika 30 tu kwa kupanua mapaja yake
 
Wewe picha linaanza baba Yako ajakuachia ata redio ya urithi daaah!!
 
Wewe picha linaanza baba Yako ajakuachia ata redio ya urithi daaah!!
Wadogo zetu tukiwaambia ukweli wanafikiri tunawachukia wanawake, wanafikiri kaka zao tunashindwa kutapanya hela kama wao, matokeo yake kijana anagonga 35 yrs hana hata kiwanja cha 25Γ—25 wakati mademu aliwahonga na kupoteza nao muda akiwa 20's washaolewa wanakula maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…