Kuzaliwa mwanaume ni hatia

Unachukia wanawake ndio...usidhanie huonekani unavyosambaza chuki zako..na kuna mafala yanakufuata blindly...
 
NAKAZIA
 
Wee thubutuu!!! Huyo mwizi mwanamke angemwibia mwanamke mwenzake uone angevojambishwa na huyohuyo mwanamke mwenzake, adui wa mwanamke ni mwanamke.

Kuna mwizi mwanamke alimwibia mwanamke mwenzake sim kwenye gari alikula kichapo Cha wanawake wenzake na maneno makali juu, afu wanaume wakakaa pembeni kwanza.

Kuna na yule mwizi mwingine wa kike aliyeiba mume wa mwanamke mwenzake majuzi, walimfanya kitu mbaya mpaka akaomba maji ya kunywa na hakupewa.

Wizi ni mbaya tuu hauangalii jinsia jichanganye useme wee ni wa kike utahurumiwa uone Cha moto, waweza jikuta unakula kiberiti bila kutegemea na uanamke wako, ohooooo Dunia haieleweki hii.
 
Kuna bidada tulikuwa tunasota naye mpk December mwaka Jana, lkn mwezi march mwaka huu akampata don amemjengea bonge la mjengo na kamanunuliw gari kali ya kutembelea. Mwanamke......shikamoo.
Na wee kajengewe uone kama ni kazi nyepesi kufumuliwa marinda, wenzako hata kukaa hawawezi washaharibiwa mpaka huko nyuma, wanawake wa hivo huko nyuma kushaoza wanatembea na funza kwenye vinyeo na maumivu makali sababu ya tamaaa.

Tamaa mbele mauti nyuma
 
Kweli mkuu, kwenye kujitafuta ni bora upige na kusepa tu, ukisema umfurahishe mwanamke utabaki kuteseka.
Kumbe ndio maana vijana wengi skuizi wanapenda kufurahishwa... right πŸ€”
 
Acha wivu, wewe sema una nyota ya punda, kuhonga uhongwi
 
Acha wivu, wewe sema una nyota ya punda, kuhonga uhongwi
Ohoooo wee jidanganye tuu, ma k skuizi yamejaa Kila kona nani akujengee mjengo na gari kisa k tuu, akati ma k ya Bure yametapakaa.

Wenzako skuizi wanatoa ndogo usiku kucha, akitoka hapo hata kukaa hawezi, usione wanawake wamejengewa mjengo na gari ukazani ni k tuu, vinyeo vyao vishaoza, wanaskilizia maumivu tuu.

Mwanamke asipokua na akili zinazoumia ni sehem zake za Siri.
 
Kipindi tupo shule tuliwahi kuambiwa wake zetu bado hawajazaliwa au kuanza hata shule. Tukajikuta sisi tunajua sana tukapuuzia tulichoambiwa. Picha likaja tupo mtaani sasa, tunajitafuta na hao tunaowaita wapenzi wetu ambao hatujaachana sana umri. Msoto umepiga na wao wameamua kwenda kwa wenye hela na waliojipata, na wengine imebidi tuwaache waende maana hali imezidi kuwa tafrani dah. Ndio tukajua kumbe hatujui. Tumekuja kujipata tunapata vitoto vya 2000 ambao kimsingi ndio wa kuja kuwaoa.
 
Mleta mada andiko hili pamaja na mengi mazuri na yenye mafunzo uliyo wasilisha hapa kwa manufaa yetu kama vijana na wote kwa ujumla una ushauri gani kwetu tulio na watoto wa kike ambo kesho watakuwa wadada ambo ni kama hawa tunao waongelea hapa?
Natanguliza shukurani Natafuta Ajira
 
Daaah mkuu unaongea ukweli mtupu sema tunaokuelewa ni wachache mkuu

Endelea kutupatia madini hayo ya uhakika kabisa nipo hapa kusikiliza na kujifunza πŸ™‡πŸ‘±
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…