Kuzaliwa mwanaume ni hatia

When you are a man means you need to hold these attributes

Smartness
Leader
Provider
And being responsible for ur family and societies the all time you will think about how to become responsible
 
Kuna watu muda wote hata hawajui kusoma comment za utani na za serious wao ni kupanic tu....job truetrue
 
Kwa kweli la sivyo unaitwa feminist sasa hiviπŸ˜€
Wana stress pesa hawana na wanawake hawawataki wakiona hivyo basi hasira zao zote wanamalizia kwetu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wana stress pesa hawana na wanawake hawawataki wakiona hivyo basi hasira zao zote wanamalizia kwetu πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni hatari dogo ila mi nishajiambia sitaruhusu mtu aniambukize stress zake. hapa JFπŸ˜€
 
Kuna watu muda wote hata hawajui kusoma comment za utani na za serious wao ni kupanic tu....job truetrue
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ job true true au sio
Wewe mimi nawazidishia visukari labda niamke na roho mtakatifu
 
Wewe tenaπŸ˜€
Wangekua wanamexa dawa zao za presha na sukari kabla ya kukuvaa!πŸ˜€
Kuna muda nawapelekea moto mpk wanaenda kufungua id mpya ili wapooze machungu yao 🀣🀣🀣
 
Kuna muda nawapelekea moto mpk wanaenda kufungua id mpya ili wapooze machungu yao 🀣🀣🀣
Huwa nikikuonaga engo hizo nacheka sana hlf wao wanakua serious hawajui hizo vitu mwenzao unaona kama mchezoπŸ˜€
 
Uzi ungeuandikia kwenye boxer yako ukauficha huko ningeuonea wapi? Au ungeandikia kwenye toilet paper ukauchambia, ili nisiuone
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Huwa nikikuonaga engo hizo nacheka sana hlf wao wanakua serious hawajui hizo vitu mwenzao unaona kama mchezoπŸ˜€
Wangeona ninavyowajibu huku nacheka nadhani wangeacha wanachofanya kwa afya yao ya akili 🀣🀣🀣

Yaani naenjoy hawajui tu, nawageuza ninavyotaka nawaacha wanasonya mpk usingizini 😹😹
 
Wangeona ninavyowajibu huku nacheka nadhani wangeacha wanachofanya kwa afya yao ya akili 🀣🀣🀣

Yaani naenjoy hawajui tu, nawageuza ninavyotaka nawaacha wanasonya mpk usingizini 😹😹
I know πŸ˜€
Ila ukute hata hawakuchukii labda na wao wanakuchokoza tu for funπŸ˜€

Ukute vile unawawashia moto na wao wanachekaa ila walio na chuki kweli ndo hapo sukari zinawapandaπŸ˜€
 
I know πŸ˜€
Ila ukute hata hawakuchukii labda na wao wanakuchokoza tu for funπŸ˜€

Ukute vile unawawashia moto na wao wanachekaa ila walio na chuki kweli ndo hapo sukari zinawapandaπŸ˜€
Weeh wale sukari inawapandaga kweli wananiombeaga had ban πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkigusa panapouma lazima akimbilie JF HQ kujitetea, wakiona wamekushindwa wanafungua id mpya warudi kivingine watukane wapooze machungu yao na wasichokijua hakuna tusi naliogopa na jipya yote ya zamani na yashaexpire wanajichosha.. 😹😹😹
 
Haters wa kweli hawakosekani mdogo wangu ila sio ajabu kuna wengine ukute anajiambia kabisa ngojeq nimzingue lamomy leo ila moyoni anakupendaπŸ˜€
Haters fake yaaniπŸ˜€
 
Haters wa kweli hawakosekani mdogo wangu ila sio ajabu kuna wengine ukute anajiambia kabisa ngojeq nimzingue lamomy leo ila moyoni anakupendaπŸ˜€
Haters fake yaaniπŸ˜€
Wengine wanafanya kusudi ili niwajibu siku yao iende vizuri, wengine yakinishindwa yanaanza kunibebisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna muda unaingia unakuta mention kibao halafu za kipuuzi tupu unabaki unacheka basi sasa utafanyaje?! 😹

Wengine wanakuwa na maumivu y’a kweli hao pole yao.. sina la kuwasaidia wapambane na stress zao..!
 
πŸ˜€πŸ˜€
Kabisa usikubali kuambukizwa stress.
Mi sijui ni uzee yaani huwa naishiwa kabisa nguvu za kujibu siku hiziπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…