Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
- #41
Kwani wewe ukipanda mbegu shambani huwa huipendi kuila! Si unapanda ili iote izae nyingi?Hiyo ya Yesu inaweza kuwa ni maigizo extreme kuliko scenario zote ulizozielezea hapo.
Imagine eti huyo ndio alikuwa mtoto pendwa wa Mungu, still akatumwa aje kupigwa kipigo cha aibu mpaka kifo.
Guys tuelewane, huyo ni mtoto pendwa hakuna kama yeye lakini cheki kilichomkuta.
Na hapo hakuwa na dhambi.
Je hiyo inatupa tahadhari gani kwa sisi watoto wengine ambao sio pendwa kama alivyokuwa Yesu?
Plus na haya masharti aliyotuwekea ya mfumo wa tuishi na kuita dhambi kila kitu ambacho kitakuwa ni kinyume na maagizo yake, hivi hamuoni kwamba sometimes ipo haja ya kuzikwa na fire extinguisher ili kupambana na ile kitu ya huko jehanam?
Mungu alimleta mwanae afanyike kuwa mbegu za kuzaa wema kwa wanadamu!
Alikuja kuigiza maisha kama mwanadamu ili apitie machungu yote! Na pale aliposhinda aliwatangazia wote wanaomwamini yeye nao watashinda!