Kuzuia mikutano ya siasa kunaifubaza CCM na kuimarisha Upinzani, ndio maana Uchaguzi Mkuu 2020 ulikuwa mgumu kwa CCM

YESU,MOHAMAD,nao waliondolewa duniani ilivyo kwa MAGU unawazungumziaje na hao
 
Acha kujiongeresha kama umekatwa kichwa. Kwa nini MaCCM akili zenu azina akili..?!
CCM ilishajifiaga uo ndio ukweli, na sikweli kuwa wanatawala comfortably, wasingeteka, kutsesa, kupiga risasi na kuua watu. Wasingeiba kura na kuvuruga chaguzi. Ni Majeshi yetu yameachagua upanande na yanafanya siasa. ndio unaita Comfortably hii.. jinga sana wewe!
 
Umesema ukweli. Na uchaguzi wa 2020 ungekuwa huru CCM ingeshindwa vibaya sana. Lakini naona mama hilo halimsumbui kwa sababu ameshajua inawezekana kutumia nguvu kupora kura na kisitokee chochote.

Ile ni mbinu ya muda tu, hata magu mbinu ile alifanikiwa kwa mara moja tu, kwa hali ya uchumi ilipokuwa imefikia, asingeweza kufanya hivyo 2025 na akabaki salama.
 
Kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa mgumu kwa CCM kuliko 2015? You must be drunk or your account is hacked!
 
Sawa chukua tu mfano, Samia angesema tunajiandaa kurejea mchakato wa katiba tayari wapinzani wangepoteza agenda muhimu sana. Hii ilimsaidia sana Kikwete kipindi chake cha mwisho.
 
Samia badala ya kujenga CCM ya kujibu hoja kwa hoja, yeye anataka awafunge midomo wapinzani!
Kila mtu ana stahili yake ya kukubalika, wengine ubabe unawasaidia wengine huruma tu. Sasa ukidanganyika kuiga mtindo wa mwingine utaumbuka. Kuna watu wandhani Samia akiwa kama Magu atafanikiwa, si kweli! Aende tu alivyo asitake kuiga au kufuata miluzi ya watu.
 
Watanzania bado illiteracy ni kubwa, zuia mikutano ya upinzani inayocapitalize kwenye selfcitizen illiteracy, Ili kuzuia adui wasipitie huko ku subotage nchi,

Nb; adui wa nchi ni rahisi ku sabotage nchi kupitia upinzani kuliko Chama tawala.
 
Huwezi kujenga hoja bila kutumia foul mouth?!...
 
Nguvu kazi nyingi? Inamaana wapinzani wana watu kumbe?
 
Huu mpango unahisi ulikuwa wa Mungu by 100%??? Pole sana mzee🤣🤣🤣
 
Watanzania bado illiteracy ni kubwa, zuia mikutano ya upinzani inayocapitalize kwenye selfcitizen illiteracy, Ili kuzuia adui wasipitie huko ku subotage nchi,

Nb; adui wa nchi ni rahisi ku sabotage nchi kupitia upinzani kuliko Chama tawala.
Dunia ni kijiji bwashee!
 
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa mrahisi sana, ushindi ulikuwa kama kumsukuma mlevi...hamuoni bunge la kijani?🤣🤸🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…