Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

Naona Firstpost hawataki mchezo.

Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.

Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina.
===================
Leaders of Tanzania's main opposition CHADEMA party were among 14 members briefly arrested in Dar es Salaam as police attempted to block a banned demonstration against President Samia Suluhu Hassan's government. CHADEMA said that its chairman, Freeman Mbowe, was taken into custody as he was preparing to lead a peaceful protest against alleged killings and abductions of government critics in recent times. As Opposition leaders were detained in Dar es Salaam, President Hassan was seen enjoying a traditional game of Mancala in the country's south. Her indifference to the crackdown on Opposition was widely slammed on social media.


View: https://youtu.be/Wbz-fr_Qy2A?si=wGWGEHVM_BsM1s6s

Huo ujinga wa kuwahofu na kuwaabudia wazungu nyie watu weusi utawaisha lini?
 
Hakuna cha vyombo vya nje wala nini huyo ni muhuni mmoja na kagenge kake na anaishi hapa hapa bongo
 
Madaraka matamu sana, Hasa haya ya kulazimisha na kudanganya umma kwamba wameshinda kwa kishindo. Wanaimba demokrasia lakini hawataki demokrasia.

Hawataki kufuata haki, wanalazimisha TAMISEMI wasimamie UCHAGUZI wakati tunayo Tume ya Uchaguzi. Na kwanini basi hata wasinge toa hayo mamlaka kwa Wizara ya sheria na katiba badala yake wanalazimisha TAMISEMI, siyo kwamba wao wizara ya sheria na katiba wana haki, lakini inge leta mantiki japo kidogo.

Wakubali uchaguzi huru tuone ushindi wa kishindo.
True huwez kuna na rais unatisha watu afu kwenye mkutano mkubwa and everbody is watching wakatibwa mama toka aondoke zuhura yunus naona gepu kubwa mnoo kwenye speech zake speech zinaandikwa kichawa chawa tuna mlima mrefu sana
 
True huwez kuna na rais unatisha watu afu kwenye mkutano mkubwa and everbody is watching wakatibwa mama toka aondoke zuhura yunus naona gepu kubwa mnoo kwenye speech zake speech zinaandikwa kichawa chawa tuna mlima mrefu sana
Zuhura Yunis yuko wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom